Leticia Nyerere atimkia CCM

Ni muda wa kujipanga kwa milioni kadhaa za kipindi kijacho cha bunge. Wanakumbukumbu za zileeee zilizotoka hivi juzi tu wanajipanga vilivyo kwa kipindi kijacho.
 
Huyo mbunge muda mwingi tuko naye US sijui anawatumikia watu saa ngap
 
Haaa haaa halafu mbunge pekee aliyekwenda ACT ni mbunge mwenye laana ya kumpga Baba yake mzazi,kamfukuza kwenye nyumba aliyokuwa akiishi naye,kutupa nguo zake pamoja na pichu hadharani kesi iko mahakamani ana subiri kufungwa tu.

Amesema wamefika 10% ya wabunge hamsini.....hahahahah...Chezea mnafiki zito wewe
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Vipi og umeshahamia chadema .kama bado unangoja nini ?? Utabaki mwenyewe ccm hapo meru.usione aibu tutangazie rasmi jf sasa huko chadema
 
Hiyo ndiyo Demokrasia.

Kweli ccm ni ushuzi, wamechanganyikiwa..wakiona adui wa chadema kajiunga na ccm wanachekelea na kuona ni halali, lakini wakiona ccm anahamia chadema hyo ni fisadi.. huko ni kujitoa ufahamu na ndyo dalili ya chama kinachokwenda kuanguka
 
Nani Turufu na nani Garasa (Garasha) kati ya Esther Bulaya na Laticia Nyerere?
 
Mwambie na ela ya form ya kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm aje kuchukua CHADEMA tutamchangia kabisa na send-off tutamfanyia akitaka.
Chezea CHADEMA weye.
 
Haaa haaa halafu mbunge pekee aliyekwenda ACT ni mbunge mwenye laana ya kumpga Baba yake mzazi,kamfukuza kwenye nyumba aliyokuwa akiishi naye,kutupa nguo zake pamoja na pichu hadharani kesi iko mahakamani ana subiri kufungwa tu.

Mbunge gani huyo mkuu? maana wamehamia watatu toka CDM na Moses Manchali wa NCCR(Huyu alikuwa na Mgogoro na viongozi wake wa either wilaya au mko)
 
Leticia Nyerere kuhamia chadema wamejenga uadui na familia ya Nyerere. watakosa kura za Mkoa Wa Mara kwani Leticia ana nguvu kule.
Kama kuhama chama kunaleta chuki basi CCM hakuna Demokrasia.Jingine kama Leticia ana nguvu kule mkoani Mara basi azitumie kulima na kuongeza ulinzi dhidi ya wezi wa mifugo na mapigano ya kikabila.Kama alikuwa na nguvu kisiasa basi angekuwa mbunge kupitia jimbo kama iron lady Halima Mdee!

Vijana hawapati kazi kwa sababu kabla hawajeenda kwenye interview hawajipaki " DEODORANT"
 
Kahongwa hyoo baadye ata hamia ADC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…