THEBLACKPEARL
Member
- Jun 11, 2015
- 69
- 46
Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona inakukera au kukufurahisha yaan any mada(thread)
Mimi naanza na hii:
Nataka kuoa jini
Haya twendeni
Mimi naanza na hii:
Nataka kuoa jini
Haya twendeni