leta tatizo lako au kesi tata hapa(itatatuliwa)

kwa kwa kwa kwiiiiiiiiii yaani nimecheka hadi chozi limetoka, kweli duniani viroja havitaisha.
 
Mi nataka serikali ya magamba ijiuzulu, ukiweza hilo mi ntakuona wa maaana
 
mmeni quote vibaya,in my introductory thread above,there is no part of it where i appear calling myself mganga,
USILOLIJUA.......
Kaeni na shida zenu.
 
Nina tatizo la kuingia jf kila siku hasa MMU.
Nahitaji msaada wako al shabab tatizo hilo liishe.
Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…