Let your husband be your best friend you will be happy

Especially when your husband needs you as a friend.Lol. Wanaume wengine kutwa wamezungukwa na washkaji....utapata wapi nafasi ya ku-m-befriend? This is why I consider myself lucky.

Umemaliza! Hawezi akawa best friend wako halafu anakaa na kina Asprin na Bigirita bar hadi saa nane usiku. Akifanya mchezo kama sio jf, basi walau fesibuku watakuwa best friend wako, that is kama wakina Bishanga watashindwa kukushawishi.
 
Last edited by a moderator:
Jifanye celebrate utakuwa celebrity,mfanyabiashara utakuwa mfanyabiashara.dream positive .
 
..Hongera zako NK...ni raha sana kuwemo katika ndoa kama hiyo...wazushi hawakawii kusema yule mume wa NK si bure labda kishalishwa vya kulishwa kumbe ni bahati yako tu...Bahati ya mwenzio....

Especially when your husband needs you as a friend.Lol. Wanaume wengine kutwa wamezungukwa na washkaji....utapata wapi nafasi ya ku-m-befriend? This is why I consider myself lucky.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom