Let your husband be your best friend you will be happy

Fomula ya mapenzi; unayempenda yeye hakupendi, usiyemenda ndiyo akupendaye. Je, upo tayari kuwa na usiyempenda?
 
Don't talk behind his back ,show love cause love is the best gift you can give to your partner it's free
 
Remain faithful to god and your partner let his body be your temple enjoy the art of sex and intimacy .your husband is a helper from god .respect love is all what is needed
 
kumbe tupo tuliobahatika aisee. lakin it costs sana unapomfanya mume ama mke rafiki manake mwngi mko pamoja sms kwenye simu hadi 100 kwa siku, baa mko wote na hata mtu akitaka kuwaua anawaua wote yaani................lakini on the other hand ni raha sana manake muda wote huwaz kitu kingine zaid ya yakwenu and good enough mnaweza kupiga quick strides za development if you are friends manake muda mwingi mko pamoja mnajadili mambo yenu kwa nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom