Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Kwanini RC wamekua na mambo ya Siri namna hii na wanatumia nguvu nyingi kufanikisha dini yao ijulikane [emoji35][emoji35][emoji35]

Huku kwetu mikoa ya pwani ambapo inaonekana kuna waislaam wengi wameongeza nguvu ya kuanzisha NGO's mbalimbali za misaada na utetezi wa kijinsia nadhani hawa ndio hao JESUIT

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hiyo ingekua ni kesi endapo ili uwe mlawiti/ mlawitiwa lazima uwe unasomea upadre.

Hao watu wako kila mahali na kwa dini zote.
Kwa mwendo huu utajikuta unahoji kila kundi lenye hao watu wanaanza wakiwa katika hatua gani.
 
Kumbe unadhani?
 
Hiyo ingekua ni kesi endapo ili uwe mlawiti/ mlawitiwa lazima uwe unasomea upadre.

Hao watu wako kila mahali na kwa dini zote.
Kwa mwendo huu utajikuta unahoji kila kundi lenye hao watu wanaanza wakiwa katika hatua gani.
Hivi huelewi kuwa mpaka Umoja wa Mataifa umingilia hilo janga la Kanisa kuharibu watoto? Mpaka Umoja wa Mataifa uingilie ni kesi ndogo hiyo? Fikiri. Ushahidi huu hapa...

 
Nadhani wanaanza katika umri ule ule aliokuwa nao Mtume Muhammad wakati anambaka mtoto Aisha mwenye miaka 9 na kumfanya mkewe
 

You are right madam!

Sijujua jambo likiingilwa na umoja wa mataifa au kuandikwa mtandaoni/ magazetini ni hatari kiasi hicho.

Lakini link uliyotuma haifunguki.
 
Crap
 
Ukiwa close sana na padri then maybe then anaweza kukupa siri hizi...but hauwezi kiacha upadri kama vile ambavyo hauwezi kuacha usalama wa taifa uende kuuza nyanya.
 
JF bana dah!

Eti jamaa kavujisha siri.

Tafuta nyuzi humu, hao Jesuits wameshaandikwa sana, kanisa limeshaandikwa sana.

Hao watumishi wa makanisa mengine wameshaandikwa sana, iwe RC, Anglican, Islam, Pentecost nk hayakosi kusemwa, hayataisha kusemwa.

Kila mtu aiishi imani yake kama anavyoagizwa na miongozo inayomhusu. Tuheshimu imani za wenzetu.

Kukaa na kukashifu imani za wengine si kitu, bali ni kuichafua nafsi yako.
 
Conspiracy za kitoto sana. Hakuna ushahidi wala reference yoyote yaani tuamini story uliyosimuliwa!! Mimi sio RC sina maslahi yoyote hapa ila I'm not buying this
Knowledge is power...read and you shall be free.
ila my take hawa jesuits sio wa kitoto mzee FM wakasome kwa jesuits tena kuna mkuu wa freemason mwaka fulani alimaindi sana baada ya kungudua hata memba wake wwngi wenye vyeo vikubwa ni jesuits.
Hawa wajinga hata ww1 na ww2 waliplay part kubwa sana kuvipropagate

 
Katika madhehebu ya kikristu ambalo halijitangazi bhasi katholiki wanaongoza

Hawatumii promo wala miujiza kuwateka watu. Ukiona mtu kabaki Catholic bhasi jua ni dhamiri yake na hajalazimishwa kubaki

Kingine toka ukatholiki unaingia Africa, huduma za kijamii imekuwa ni alama yake. Mashule, vyuo hadi hospitali yaani hiyo NGO's ni kitu kidogo sanaaa katika hili kanisa
 
Nimejifunza na kuishi utawa kwa miaka 5 na kukamilisha hatua mbili muhimu... Hatua ya tatu ndio ingekuwa a point of no return! Ningeifanya ile sijui leo hii ningekuwa wapi[emoji848][emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr; kumbe aliyasema mleta UZI ni kweli kuwahusu mapadri? Aise???? Ndio maana Padree Kalugendo alichukua Zaidi ya miaka 20 kuoa since aachane na day to day activities za kanisa ingawa pamoja na kuachana na hizo activities, stil mitaani na maandiko yake alikua akijitambulisha kama padre. Noma sana RC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…