As long as ulimuoa akiwa na akili timamu, hauruhusiwi kuvunja ndoa.Mwenzi wako akiugua uchizi( ugonjwa wa akili kwa zaidi ya miaka miatatu ) je!! Bado hauruhusiwi kuvunja ndoa hii na kuoa aubkuolewa na mwengine??
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mzeeeNimejifunza na kuishi utawa kwa miaka 5 na kukamilisha hatua mbili muhimu... Hatua ya tatu ndio ingekuwa a point of no return! Ningeifanya ile sijui leo hii ningekuwa wapi[emoji848][emoji144]
Sent using Jamii Forums mobile app
The monk who sold his konyagi [emoji3]Usijali kabisa... Lakini kule tunatumia title ya monk... Huo upadre niliufananisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakataa aisee [emoji3] wewe kuwa mtumishi [emoji3] Hasa kutokana na ile sredi moja matata ya mtu alitaka ku......Shia [emoji3][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]napokea kwa unyenyekevu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Corona hii uko ungeendelea unafikiri ingekuaje?Nimejifunza na kuishi utawa kwa miaka 5 na kukamilisha hatua mbili muhimu... Hatua ya tatu ndio ingekuwa a point of no return! Ningeifanya ile sijui leo hii ningekuwa wapi[emoji848][emoji144]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya Mtume hayo naona Wenzako wa Zanzibar ndio wako vizuriKulawitiwa mnaanza "stage" ipi? maana tunasoma kuwa 80% huko ni mashoga. Ushahidi...
Four in five Vatican priests are gay, book claims
French journalist’s book is a ‘startling account of corruption and hypocrisy’, publisher sayswww.theguardian.com
Hongera sana mkuuMkuu, Sang'udi Ni Mlei Mkatoliki. Mleta mada amekurupuka sana.
Vatikan siku hizi ipo Zanzibar? Sishangai maana kisiwa cha Unguja kimezungukwa na hoteli za Wataliano, nini cha ajabu ikiwa mambo ni haya...Mambo ya Mtume hayo naona Wenzako wa Zanzibar ndio wako vizuri
We sio mzima kabisa wanakuita bibi lakini kichwa yako imejaa upupuHeshima yako iwache hapo hapo Katikati ya miguu yako na kamshushie mumeo au mkeo kama unae.
Mie heshima yako inanihusu nini?
Kwanini RC wamekua na mambo ya Siri namna hii na wanatumia nguvu nyingi kufanikisha dini yao ijulikane [emoji35][emoji35][emoji35]
Huku kwetu mikoa ya pwani ambapo inaonekana kuna waislaam wengi wameongeza nguvu ya kuanzisha NGO's mbalimbali za misaada na utetezi wa kijinsia nadhani hawa ndio hao JESUIT
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ushahidi wa usemayo kuhusu kulawiti na RCVatikan siku hizi ipo Zanzibar? Sishangai maana kisiwa cha Unguja kimezungukwa na hoteli za Wataliano, nini cha ajabu ikiwa mambo ni haya...
https://parstoday.com/sw/news/world-i51597-kitabu_85_ya_makasisi_wa_vatican_ni_mashoga
Rudi kwenye hiyo post uliyoijibu ushahidi upo hapo hapo. Unaelewa ni nini link?Leta ushahidi wa usemayo kuhusu kulawiti na RC
WTF!!!! Yani niamini iyo takataka yako uliyo ileta bila any proven evidence bytheway ni kawaida sana kwa RC kuchafuliwa sana kwenye jamiii wachafuaji wakubwa ni Wasabato na Nyie swala tano kumbe mnakula kitimotoVatikan siku hizi ipo Zanzibar? Sishangai maana kisiwa cha Unguja kimezungukwa na hoteli za Wataliano, nini cha ajabu ikiwa mambo ni haya...
Kitabu: 85% ya makasisi wa Vatican ni mashoga
Kulawitiwa mnaanza "stage" ipi? maana tunasoma kuwa 80% huko ni mashoga. Ushahidi...
Four in five Vatican priests are gay, book claims
French journalist’s book is a ‘startling account of corruption and hypocrisy’, publisher sayswww.theguardian.com
Kijana uelewa wako unanitia mashaka. Umeelewa kilichoandikwa hapo na umefata hiyo link na kuisoma?