Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Siku zote mtu asiye na busara, hata akitembea kwingi huko duniani, hutokea kuona mengi, kuvutiwa na mengi zaidi na HUSAHAU MENGI vile vile kisha mwisho wa siku HUKOSA MENGI ya kujifunza kwa namna yoyote ile.Mtoa mada usitake kupotosha watanzania; ukweli ni kwamba yaliyotokea Tunisia na Leo Misri ni somo la kutosha kwa viongozi sio tu wanaong'ang'ania madaraka lakini pia MAFISADI. Nikuulize; hivi utakaa meza moja na mafisadi mjadili kitu gani; hivi kama tuliowachagua kuongoza wamegeuka waporaji na wafilisi wa watanzania unakaa nao meza moja ili arudishe alivyopora au kumtaka mwizi CCM na serikali yake wageuke waungwana?.Hii siyo rahisi na ukikaa meza moja utacheleweshwa tu na porojo na kuahirisha miaka nenda rudi na utabaki palepale. Dawa pekee ya hawa viongozi wa kizazi hiki hasa wale walevi wa madaraka na wezi ni kuwatoa kwa lazima wakae pembeni ili waadilifu wapewe nafasi ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kwa ufupi tunahitaji kupata uhuru kutoka katika mikono ya viongozi wezi na wabadhilifu wasiojali wananchi wao ikiwamo CCM na serikali yake
Nilitegemea Tech. savvy muwe wa kwanza kutoa ushuhuda wa mambo ya kujifunza kupitia "Tunia and Egypt uprising", yet nakutana na upotoshaji huu toka kwa mtu ambaye uandika mambo kuonesha anaufahamu wa masuala ya Tech., kumbe zero kabisa. Sasa wewe unawakilisha vijana wa namna gani?Shy said:Hatuna cha kujifunza kutoka nchi hizi mbili pengine wao ndio watuige sisi katika masuala kadhaa ambayo yanazungumzika .
Naona hujui unalosema ama umetumwa!
Au utakuwa ni kati ya wale misukule ya mheshimiwa 'sijui'
We mzee unaonekana aidha ni katili sana au una roho ya usongo. Ndio maana tangu umejiunga 2006 hujawahi kutoa "thanks" hata moja! You must be working for the system!Kwa watanzania wakawaida kilichotokea Misri na Tunisia sio cha kujifunza wala kuiga angalau kwa sasa...
Mtoa mada usitake kupotosha watanzania; ukweli ni kwamba yaliyotokea Tunisia na Leo Misri ni somo la kutosha kwa viongozi sio tu wanaong'ang'ania madaraka lakini pia MAFISADI. Nikuulize; hivi utakaa meza moja na mafisadi mjadili kitu gani; hivi kama tuliowachagua kuongoza wamegeuka waporaji na wafilisi wa watanzania unakaa nao meza moja ili arudishe alivyopora au kumtaka mwizi CCM na serikali yake wageuke waungwana?.
Hii siyo rahisi na ukikaa meza moja utacheleweshwa tu na porojo na kuahirisha miaka nenda rudi na utabaki palepale. Dawa pekee ya hawa viongozi wa kizazi hiki hasa wale walevi wa madaraka na wezi ni kuwatoa kwa lazima wakae pembeni ili waadilifu wapewe nafasi ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kwa ufupi tunahitaji kupata uhuru kutoka katika mikono ya viongozi wezi na wabadhilifu wasiojali wananchi wao ikiwamo CCM na serikali yake
For me:
I salute Wael Ghonim, I salute the people of Egypt
- This revolution was leaderless! When wananchi decide that enough is enough, there is no power of oppression or coercion that can defeat them.
- During the great time of a nation's self determination and revolution such as that we have seen in Egypt, it is neither the NGOs nor the political parties that are at forefront, it is the people. People themselves become the leader and the lead.
- It is not possible in the contemporary world that you can cling to power undemocratically. Democracy is the only way. Yes, African leaders will fake and manipulate the people, but this will never continue for ever. They have no option but to truly democratize their countries or else they will face a shameful defeat by the people. In today's world, you only lead so long as you have the public confidence and support.
- Every struggle requires some sections of people to sacrifice, as Steve Biko once said: there is no struggle without casualties. This revolution has taken a 30 year old Wael Ghonim, to lie to his employer, the Google, that he was returning home in Egypt for what he called ' a personal problem'. He left his lucrative career to return home to join the unemployed and downtrodden youth to oust a dictator.
Hapo kwenye nyekundu namaanisha ACHA UONGO!This scenario is totally quite different from our country where we have a democratic system of changing our leaders peacefully. Yes there might be some descrepancies in ballout counted due to demographic location and infrastructure but yet still we get our leaders.
We are in a position of telling our leaders on corruption issues any time this becomes open but unfortunately the influency of some religious groups hampers the efforts of taking these leaders accountable.
And this is the main reasons why we are where we are!