Lesson; always read your girl friend/boyfriend's messages.

Usichoke kutoa sifa Asha; usipomsifu wewe ataja pata wa kumsifu akusahau. Mimi nasifia tu hata kinafiki.

Fake it until you can really make it,..
sio kila anae lia anafurahia kweli,...anajifunza kitu
sio kila sms ya i miss you ina maanisha hivo,...ana jifunza ku-care/ana timiza wajibu,...
sio kila sms ya nakuwaza sana ina maanisha hivo,....anataka kuonesha yupo pamoja nawe,...

Fake it,fake it,fake until its real haha
 
Thread yako nzuri saana, inasikitisha but kufundisha... Na ni kweli message za I love you kila saa inakua sawa na msg ya ku foward, maneno mazuri but unahisi mtumaji wala hata hamaanishi anatimiza tu wajibu....

Ur right. Za kufoward nikigundua tu hata kama ni za happy easter huwa simalizii kusoma.
 
Thread yako nzuri saana, inasikitisha but kufundisha... Na ni kweli message za I love you kila saa inakua sawa na msg ya ku foward, maneno mazuri but unahisi mtumaji wala hata hamaanishi anatimiza tu wajibu....

Ur right. Za kufoward nikigundua tu hata kama ni za happy easter huwa simalizii kusoma. Maana huwa naona hata yeye haijui sms yake.
 
Code:
Mi umenifundisha zaidi ya hapa! Unajua kivipi???
Sredi yako niliiona kitambo tu, nikawa napuuzia tu (Nimezoea kuona sredi nyingi za watu ambao nawaona ni wageni hapa MMU zinakuwa kama wanajifunza uhusiano), na hata nilivyoifungua sikuisoma thread kuu, nikawa nasoma replies za members. Nilipoona reply za watu wanasikitika ndo niaamua nirudi sredi kuu.
Sifanyi tena hivi
asante mkuu kama umejifunza na hilo pia..
 
Ur right. Za kufoward nikigundua tu hata kama ni za happy easter huwa simalizii kusoma. Maana huwa naona hata yeye haijui sms yake.

Tupo pamoja, naamini kua watu wanokufahamu na mnashirikiana they deserve you 10 minutes time ya wewe kukaa na kufikiri ni kitu gani nawaombea au kuwatakia hawa watu katika list yangu.... Event kubwa kama New year, Eid, X-mas, Birthday etc una forward message!!! it is not fair for the recipient....
 
There was a guy who was so tired of reading his girlfriend's message....
because there are always i love, i miss you or have you eaten your meals?
One night while lying in bed, he received a text message from her....
he didn't read it, instead he went to sleep.

In the morning, he was woke by a call from his gf's mom....
she was crying while telling him that his girlfirend was killed that night she texted him.

He remembered the message and he read it... "honey pls c0m &help me, sum1 s following me...pls"

Da! inasikitisha sana, R I P marehemu,

Kuanzia sasa hivi ntajitahidi kusoma msg kila inapoingia,
Japo msg za matangazo ya cm ni karaha tupu zimechangia sana nipuuzie kila msg inapoingia nisiifuatile...
 
[/COLOR]

Da! inasikitisha sana, R I P marehemu,

Kuanzia sasa hivi ntajitahidi kusoma msg kila inapoingia,
Japo msg za matangazo ya cm ni karaha tupu zimechangia sana nipuuzie kila msg inapoingia nisiifuatile...

Inaniboa hio..... Some time you wish uhame mtandao but huna ujanja....
 
Inaniboa hio..... Some time you wish uhame mtandao but huna ujanja....

Umeona Asha D,
Mwanzo nilidhani labda ni mtandao niliyopo tu, lakin kumbe ni kila mtandao,
kila muda unasikia msg ukifungua tangazo....aaah mi inaniboa sana,
lakin kupitia hii thread ya kusikitisha ya leo LAZIMA nibadilike niwe nasoma msg...
 
So sad! RIP beautiful innocent girl jamani njemba haikujua au ndo ubusy.

Eti njemba ilijua ni zile message zake za kila siku zinajiludia tena kama i love U, i miss you or have you eaten your meals? kama jamaa alivyotuandikia hapo juu.
 
Thread yako nzuri saana, inasikitisha but kufundisha... Na ni kweli message za I love you kila saa inakua sawa na msg ya ku foward, maneno mazuri but unahisi mtumaji wala hata hamaanishi anatimiza tu wajibu....

Umeona heee!!!!!
 
Umeona Asha D,
Mwanzo nilidhani labda ni mtandao niliyopo tu, lakin kumbe ni kila mtandao,
kila muda unasikia msg ukifungua tangazo....aaah mi inaniboa sana,
lakin kupitia hii thread ya kusikitisha ya leo LAZIMA nibadilike niwe nasoma msg...

Hata mimi nitasoma mradi sender isiwe number 100 au zenye upungufu wa namba ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom