Mbona wanatoza sana tangu kitambo,
Iko hivi kila kinywaji unachonunua tayali washaweka kodi humo, labda kama unaongelea Kodi ya kusachi watu mifukono ,hiyo bado ndio iko jikoni sasa
Halafu aende hata hapo Bharain, kile ki-glass kinachojaa serengeti laga ndogo moja, kinauzwa dinali 4 za Bharain during happy hour (Dinali moja ni Tshs. 6,000/- miaka ya 2023). Kwa hiyo hicho ki-glas unakilipia Tshs 24,000/- lakini watu wanakunywa tu