Leonardo Da-Vinci

Wazungu wajanja sana
 

Attachments

Umeandika upumbav mwingi sana Mkuu. Kwann lkn umeamua kufanya hizi???
 
Acha uongo ww kasome vzr bibilia petro alioa
 
MONALISA, limeetokana na maneno mawili "AMON" and "L'ISA (Isis)"
AMON: mungu (m-ndogo) wa Misri wa uzazi wa mwanamme (God of masculine fertility)
Isis: mungu wa Misri wa uzazi wa mwanamke (Egyptian goddess of fertility) ambaye picha zake za zamani sana zilimtaja kwa jina la L'ISA.
Kwahiyo "AMON L'ISA".......MONALISA.

Leonardo alichora kila picha kwa sababu..Kubwa ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa walioweza kudecrypt code katika picha.
Kwakuwa ni mtu aliyeamini feminism zaidi picha ya Monalisa inaonekana ni mwanamke zaidi kuliko mwanaume ila ni kwamba "ina jinsia zote mbili". Na ndio maana Leonardo alihusishwa na Homosexuality.
 
Member kuna mwanachama alimuulizia Padri Privatus Karugendo kama angeingia humu angesaidia kutatua hizi picha za Da Vinci huu ndio ujumbe wake na amewapeni hichi kipande
Ndugu yangu, asante sana kunitumia ujumbe. Nikiwa na nafasi, ninapitia Jamiiforum. Nina siku nimepitia huko. Kuhusu swali lako la picha Monalisa. Ni kwamba baada ya Falsafa ya wagiriki ya Matter and soul, spirit na body kuliteka kanisa. Ikiwa matter ni dhambi na soul or form ni utakatifu, wanawake walilchukuliwa kama matter. Hivyo jitihada kubwa ilifanyika kuwaondoa kwenye sura ya kanisa. Pamoja na ushahdi wa kutosha kwamba wanawake walifanya kazi bega kwa bega na Yesu. Picha hiyo hapo ni kuonyesha kilichoficha cha kuwaondoa wanawake. Ukiangalia inaonyesha sura mbili ya mwanaume na mwanamke. Ukisoma Injili vizuri, hakuna sehemu wanayoonyesha mwanume yeyote yule kuwa karibu sana na Yesu. Alikuwepo mwanamke Maria Magdalena. Hata Yesu anapofufuka anaionyesha kwake. Hivyo hata picha ya chakula cha mwisho, mwtu aliyemlalia Yesu, wanasema ni Yohana, lakini ana sura mbili. Ina maana huyo msanii alitaka kuficha, lakini alitaka kumchora mwanamke, kwa vile mambo yalibadilika, na hasa 321, Emperor Constatine, alipolishika kanisa, ndipo piicha kama hiyo ikatokea. Hakuna siri, ila ni ukweli kwamba aliyekuwa karibu sana na Yesu, ni mwanamke na wala si mwanume. Waeleze hivyo kwenye Jamii Forum.
 
Well hapo tutagundua vitu vingi.
Je huyo mwanamke alikuwa karibu nae vip kwa? Ni mpenziwe kama isemekanavyo?
 
Good be blessed.
Raisi wa kiwango hata nchi yetu inapata heshima nje ya nchi.hapa kuna sababu ya kufurahia kuwa Mtanzania.
 
 
Da vinci ni Jamaa mbobezi wa fani mbalimbali zikiwemo za sanaa na science ameishi miaka mingi iliyopita tunamps credit kama mtu wa kwanza kudizaini michoro ya vifaa kama Meli,Vifaru na Helicopter(Chopper) Licha ya kuwa mbobezi wa idara nyingi Leonard da vinci amekuwa maarufu zaidi kupitia uchoraji amechora michoro ambayo mpaka sasa kama sio michoro maarufu kuliko basi ni michoro inayozungumziwa mno mno Ambayo ni Last Supper na The monalisa ambao ipo Ufaransa kwenye Museums picha hizo zime code information fulani ambazo mpaka sasa sociologist, Scientist, Archeologist wameshindwa kuDecode exactly meaning ya Mkulu Da vinci nafikiri hizo hands painting Za da Vinci zimewekwa humu, Kuna Waandishi wa vitabu wamejaribu kueleza code za da Vinci ila famous kabisa na alieteka audiences(Hadhira) ni Dan Brown huyu jamaa amemchambua vilivo mkuu Leonard kupitia kitabu chake kiitwacho Da Vinci Code Part kubwa ya kitabu ni Imaginary(fiction) ila inatisha kwa kweli
 
Nlishangaa jamaa mmoja alkuwa anani hadithia story aliyo soma katika makala Fulani kuhusu Leonard da Vinci nilishangaa sana, mtu mmoja kama huyo tena aliye ishi miaka mingi baada ya kupaa kwa Yesu kristo hawez kuja na vi theory vyake vya kuudisi ukristo na kusema Yesu alioa, foolish
 


ndugu imani ya mutu kuitia matatani ni kujiingiza matatani wewe mwenyewe
 

Nilidhan Faru John
 
Da Vinci hotel in sandton jhb is the best one! Wana night club flan hatariii sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…