LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

Nadhani watanzania inabidi tupate kapo elimu ya vitu vidogo tu .
Ni kuwa kwenye group la mashoga kuna BOTTOM na TOPS hawa tops huwa ndiyo wanakula wanaume wenzao au wanaitwa mabasha kwa kiswahili ila Botttoms ndiyo huwa wanaliwa kiboga ila wote hao hujulikana kama GAYS au mashoga .
Sasa da vinci alikuwa ni TOP na si alikuwa akiliwa bali alikula ILA ALL IN ALL GAY ni GAY TU .
Matop huwa na wake na família zao. Ila huyo shoga unayemtetea mpaka anakufa hajawahi kuonekana na demu, mke wala mtoto
 
alikua na mwonekano wa kibinadamu lakini alikua ni MUNGU, wanadamu tusingeweza kumpokea kama angetokea tu, na yeye alilijua hilo ndo maana akapitia njia za kawaida kabisa za kibinadamu ili atimize rengo lake.
Kwahiyo huwezi kukataa kwamba alikua ni binadamu halisi katika mwili
 
Most genius hapa ni fundi mkuu Max Plank
maana Quantum mechanics hatari
Waliopiga quantum mechanics si max planck pekee bali wapo wengi na ni field kubwa baadhi yao ni kama
-albert einstein
-niel bohr
-johann balmer
-friedrich paschen
-Erwin Schrödinger (huyu alitoa formular muhimu sana kwenye field hiyo,inaitwa schrödinger equation kama ulisoma quantum mechanics kwenye hydrogen spectrum utaikuta au hata kwenye morden and nuclear physics ipo)
-johannes rydberg
Na wengineo wengi mkuu so usimueke plunck to weka na hao
 
sasa most genius mmoja ntawawekaje na hao,,,
Naona umemuanzia Einstein, hujui Plank alimuona Einstein wa kawaida tu na hakuwahi kumchukulia genius, bas tu Plank alivoikubali RELATIVITY na kuwa friends ndio Einstein kupata media promo na kuwa genius of 20th century kumbe hastahili, hao wengine Bohr sawa kajitahidi atomic structure, Schrödinger equation ngumu lakini The father of Quantum mechanics anajulikana Max Plank
 
Haujawa specific shoga kivipi yani alikuwa anaolewa yeye au yeye ndiye aliyekuwa anaoa .
Ila anyway jamaa alikuwa anapenda sana vijana wakiume na alikuwa anawaharibu kweli kweli na alishawahi kupita na mtoto wa pope alexander wa (vi) wa kiume aliyekuwa akiitwa cessare borgia ambaye pia alikuwa cardinali na jomba(da vinci) kuonyesha ameiva kwa cersare ikabidi amu potrait kama masihi(yesu) katika moja ya picha alizokua anazichora kipindi hicho.
Cessare hakuwahi kuwa shoga alikuwa mbabe wa kutupwa,aliwahi kuua mpaka kamanda wake wa jeshi kwa kushiriki ushoga.Cessare alimpa mimba dada yake wa kuzaliwa Lucrecia.Cessare picha yake ndio inayotumika kama taswira ya yesu.
 
hii hapa link mkuu kajioneeee

Mkuu mbona umepotea kizembe sana,
Iv utembeaj wa yesu unaufananisha na uyo jamaa muda wote mikono kama anataka kupaa, anatembea kama yupo kwenye kamba kuna walakin juu ya utembeaj uo
Pili hyo kufanya kama anaanguka na kujiinua n mazoez yanayocheza na physics central gravity of a body
 
Cessare hakuwahi kuwa shoga alikuwa mbabe wa kutupwa,aliwahi kuua mpaka kamanda wake wa jeshi kwa kushiriki ushoga.Cessare alimpa mimba dada yake wa kuzaliwa Lucrecia.Cessare picha yake ndio inayotumika kama taswira ya yesu.
Hapana hapana yule sio Borgia mkuu ngoja kuna uzi nauandaa nitakutag. Ila yule kanisani si Caesar Borgia
 
sasa most genius mmoja ntawawekaje na hao,,,
Naona umemuanzia Einstein, hujui Plank alimuona Einstein wa kawaida tu na hakuwahi kumchukulia genius, bas tu Plank alivoikubali RELATIVITY na kuwa friends ndio Einstein kupata media promo na kuwa genius of 20th century kumbe hastahili, hao wengine Bohr sawa kajitahidi atomic structure, Schrödinger equation ngumu lakini The father of Quantum mechanics anajulikana Max Plank
mkuu nilichooona ni kuwa unamkubali sana max plunck poa ni role model wako.
 
Yesu ni binadamu? yani unalinganisha Mungu na kina Da vinci? hauna akili pumbavu

Mkuu,Yesu hakuwa Mungu,alikuwa ni mwana wa Mungu,na hakuwa binadamu hata kidogo,ila alivaa mwili wa kibinadamu.
 
Back
Top Bottom