LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
LEONARDO DA VINCI (1452 UP TO 1519): VIPAJI VYAKE
(invention, painting, sculpting, architecture, science, music, mathematics, engineering,literature, anatomy,PHYSICS,WEAPONRY, geology, astronomy, botany, writing, history, and cartography)

Leonardo-286488.jpg

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani.
Jina lake halisi la kuzaliwa ni "Lionardo di ser Piero da Vinci".
kuna mambo mengi juu ya huyu mwanadamu lakni hapa chini unaweza pata machache.Kama ni mpenzi wa huu mlengo unaweza tafuta vyanzo vingi ukamfahamu kwa undani huwezi kukosa chohote cha kujifunza maishani.

HAPA NI MACHACHE TU

1:Ndio mtu aliyechora picha maarufu sana duniani ya MONALISA. Na umaarufu wake ulizidi kuwa mkubwa baada ya kuibiwa mwaka 1911.
225px-Joconde-XVII-anonyme-Mus%C3%A9e_%C3%89pinal.jpg

2: Ndio mwanadamu wa kwanza kuweza kuelezea kwa nini ANGA lina Rangi ya Blue
11334588_408981352619100_764359016_n.jpg

3:Alikuwa anauwezo wa kufanya kazi mbili tofauti kwa kutumia kila kazi na mkono wake kwa wakati mmoja. Mfano mkono mmoja unachora picha wakati huo huo mwingine unaandika vitu tofauti.
Drawing-Hands.jpg

4:Ndio mtu wa kwanza kutoa wazo juu ya contact lenses (lense ambazo huwekwa mchoni bila mtu kuvaa miwani)
150304164308-smart-contact-lens---sensimed-super-169.jpg

5:1994 Bill Gate alinunua baadhi ya nakala za maandishi yake kwa TSH BIlioni 60, kurasa chache zilitumika kama SCreen saver katika Window 95.
davinci-codex.jpg

6:Ni miongoni mwa watu mashuhuri wachache waliokuwa wanatumia zaidi kushoto (left handed) kama NApoleon, Michael angelo, newton,einstain,Bill gate, etc

7:Alisomea nyumbani kwa lugha nyingine hakwenda kusoma shule.

8: Ni mtoto wa nje ya ndoa. Mama yake (mkulima masikini) alipewa mimba na jamaa maalufu na tajiri aliyekuwa na familia yake. Ila alikataliwa.

9: alikwa na tabia ya kupita masokoni na kununua wanyama waliokuwa wamefungiwa mfano ndege, nyani, na wengine kisha anawafungua na kuwwacha waende waishi huru.

10:MAneno yake ya MWisho wakati wa kufa yalikuwa ni ya kusikitisha,
"Ninakufa lakini, ninakufa nikiwa nimewakosea wanadamu wenzangu na Mungu , kwa sababu kazi zangu hazikufikia ubora wa uwezo niliopewa"

11Mwaka 2003 baadhi ya kazi zake designs na michoro ikiwemo meli za kivita, na vingine vingi zilijaribiwa kuweka katika uhalisia vingine vilifanikiwa na vingine ilonekana bado ni vigumu kuwekwa katika uhalisia.
images
davincicrossbow.gif

6a00d8341c630a53ef0115714ce88d970c-500wi

12:Katika mambo ya uzazi,mifupa na afya au mambo ya kidaktari japo ni miaka mingi alipitia huko pia na kuacha mawazo na vitu vingi vya kutekelezeka.
images
437px-Leonardo_da_Vinci_-_Studies_of_the_foetus_in_the_womb.jpg

411px-Studies_of_the_Arm_showing_the_Movements_made_by_the_Biceps.jpg
 
Mbona haujazungumzia na conspiracy theories zake kuhusu Jesus ? Picture ya The last supper na nk....
 
Leonard da vinci alikuwa talented kwa wastani wake amekuwa na tittle nyingi ivo kwa vile miaka iyo aliyokuwepo hapakuwepo na ushindani ivo wa wasomu tofauti na sasa huyu jamaa kipaji chake kikubwa ni uchoraji amechora michoro mingi ikiwemo ya meli,ndege na ndio mtu wa kwanza kupaa na Hot air balloons ,michoro yake mingi ime be converted na kupata real thing kama meli na ndege yuko poa huyu jamaa i appreciate him
 
LEONARDO DA VINCI (1452 UP TO 1519): VIPAJI VYAKE
(invention, painting, sculpting, architecture, science, music, mathematics, engineering,literature, anatomy,PHYSICS,WEAPONRY, geology, astronomy, botany, writing, history, and cartography)

Leonardo-286488.jpg

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani.
Jina lake halisi la kuzaliwa ni "Lionardo di ser Piero da Vinci".
kuna mambo mengi juu ya huyu mwanadamu lakni hapa chini unaweza pata machache.Kama ni mpenzi wa huu mlengo unaweza tafuta vyanzo vingi ukamfahamu kwa undani huwezi kukosa chohote cha kujifunza maishani.

HAPA NI MACHACHE TU

1:Ndio mtu aliyechora picha maarufu sana duniani ya MONALISA. Na umaarufu wake ulizidi kuwa mkubwa baada ya kuibiwa mwaka 1911.
225px-Joconde-XVII-anonyme-Mus%C3%A9e_%C3%89pinal.jpg

2: Ndio mwanadamu wa kwanza kuweza kuelezea kwa nini ANGA lina Rangi ya Blue
11334588_408981352619100_764359016_n.jpg

3:Alikuwa anauwezo wa kufanya kazi mbili tofauti kwa kutumia kila kazi na mkono wake kwa wakati mmoja. Mfano mkono mmoja unachora picha wakati huo huo mwingine unaandika vitu tofauti.
Drawing-Hands.jpg

4:Ndio mtu wa kwanza kutoa wazo juu ya contact lenses (lense ambazo huwekwa mchoni bila mtu kuvaa miwani)
150304164308-smart-contact-lens---sensimed-super-169.jpg

5:1994 Bill Gate alinunua baadhi ya nakala za maandishi yake kwa TSH BIlioni 60, kurasa chache zilitumika kama SCreen saver katika Window 95.
davinci-codex.jpg

6:Ni miongoni mwa watu mashuhuri wachache waliokuwa wanatumia zaidi kushoto (left handed) kama NApoleon, Michael angelo, newton,einstain,Bill gate, etc

7:Alisomea nyumbani kwa lugha nyingine hakwenda kusoma shule.

8: Ni mtoto wa nje ya ndoa. Mama yake (mkulima masikini) alipewa mimba na jamaa maalufu na tajiri aliyekuwa na familia yake. Ila alikataliwa.

9: alikwa na tabia ya kupita masokoni na kununua wanyama waliokuwa wamefungiwa mfano ndege, nyani, na wengine kisha anawafungua na kuwwacha waende waishi huru.

10:MAneno yake ya MWisho wakati wa kufa yalikuwa ni ya kusikitisha,
"Ninakufa lakini, ninakufa nikiwa nimewakosea wanadamu wenzangu na Mungu , kwa sababu kazi zangu hazikufikia ubora wa uwezo niliopewa"

11Mwaka 2003 baadhi ya kazi zake designs na michoro ikiwemo meli za kivita, na vingine vingi zilijaribiwa kuweka katika uhalisia vingine vilifanikiwa na vingine ilonekana bado ni vigumu kuwekwa katika uhalisia.
images
davincicrossbow.gif

6a00d8341c630a53ef0115714ce88d970c-500wi

12:Katika mambo ya uzazi,mifupa na afya au mambo ya kidaktari japo ni miaka mingi alipitia huko pia na kuacha mawazo na vitu vingi vya kutekelezeka.
images
437px-Leonardo_da_Vinci_-_Studies_of_the_foetus_in_the_womb.jpg

411px-Studies_of_the_Arm_showing_the_Movements_made_by_the_Biceps.jpg
Wasyemeza kuchiletela amagambo museza mkulu
 
Back
Top Bottom