smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,405
- 2,836
Hapana ni real life ya huyo jamaaa wengi wanadhani ni mungu kwenye mwili wa mtu(masihi kwa mara ya pili?)Hii movie au nini?
Hapana ni real life ya huyo jamaaa wengi wanadhani ni mungu kwenye mwili wa mtu(masihi kwa mara ya pili?)Hii movie au nini?
Amegundua nn?Daaah
Mkuu ungeona kajamaa kalivokua kanazivunja hesabu na fizikia ungekavulia kofia
Matop huwa na wake na família zao. Ila huyo shoga unayemtetea mpaka anakufa hajawahi kuonekana na demu, mke wala mtotoNadhani watanzania inabidi tupate kapo elimu ya vitu vidogo tu .
Ni kuwa kwenye group la mashoga kuna BOTTOM na TOPS hawa tops huwa ndiyo wanakula wanaume wenzao au wanaitwa mabasha kwa kiswahili ila Botttoms ndiyo huwa wanaliwa kiboga ila wote hao hujulikana kama GAYS au mashoga .
Sasa da vinci alikuwa ni TOP na si alikuwa akiliwa bali alikula ILA ALL IN ALL GAY ni GAY TU .
Naona wamekugusa pole sana utaponaUshoga ni kilema kama vilivyo vilema vingine, usiwahukumu mashoga!
Kwahiyo huwezi kukataa kwamba alikua ni binadamu halisi katika mwilialikua na mwonekano wa kibinadamu lakini alikua ni MUNGU, wanadamu tusingeweza kumpokea kama angetokea tu, na yeye alilijua hilo ndo maana akapitia njia za kawaida kabisa za kibinadamu ili atimize rengo lake.
Kwahyo sio mwana wa Mungu, jibu straightYESU ni MUNGU.
Waliopiga quantum mechanics si max planck pekee bali wapo wengi na ni field kubwa baadhi yao ni kamaMost genius hapa ni fundi mkuu Max Plank
maana Quantum mechanics hatari
Kumbe hakuwa shoga ila alikua mwanamke kabisa sexualityNa alikuwa mwanadamu wa kwanza kujitangaza public.
Kuna hisia kwamba alimchora monalisa kama namna ya kuelezea his sexuality
Hakika ...Ni kweli watu watabisha lakin huyu ndo most gifted n talented aliyevitumia vipaji vyake vyote
Waliopiga quantum mechanics si max planck pekee bali wapo wengi na ni field kubwa baadhi yao ni kama
-albert einstein
-niel bohr
-johann balmer
-friedrich paschen
-Erwin Schrödinger (huyu alitoa formular muhimu sana kwenye field hiyo,inaitwa schrödinger equation kama ulisoma quantum mechanics kwenye hydrogen spectrum utaikuta au hata kwenye morden and nuclear physics ipo)
-johannes rydberg
Na wengineo wengi mkuu so usimueke plunck to weka na hao
life is full of choices ,he choose to be a guy wewe inakuuma niniKama alikuwa shoga basi apotelee huuukooooo.
Hana sifa ya kukumbukwa na kupewa Heshima.
unafikiri kila mtu anaamini kama uaminivyo ?Yesu ni binadamu? yani unalinganisha Mungu na kina Da vinci? hauna akili pumbavu
Cessare hakuwahi kuwa shoga alikuwa mbabe wa kutupwa,aliwahi kuua mpaka kamanda wake wa jeshi kwa kushiriki ushoga.Cessare alimpa mimba dada yake wa kuzaliwa Lucrecia.Cessare picha yake ndio inayotumika kama taswira ya yesu.Haujawa specific shoga kivipi yani alikuwa anaolewa yeye au yeye ndiye aliyekuwa anaoa .
Ila anyway jamaa alikuwa anapenda sana vijana wakiume na alikuwa anawaharibu kweli kweli na alishawahi kupita na mtoto wa pope alexander wa (vi) wa kiume aliyekuwa akiitwa cessare borgia ambaye pia alikuwa cardinali na jomba(da vinci) kuonyesha ameiva kwa cersare ikabidi amu potrait kama masihi(yesu) katika moja ya picha alizokua anazichora kipindi hicho.
hii hapa link mkuu kajioneeee
ushahid katafute mwenyeweWeka ushahid wacha poyoyo
Hapana hapana yule sio Borgia mkuu ngoja kuna uzi nauandaa nitakutag. Ila yule kanisani si Caesar BorgiaCessare hakuwahi kuwa shoga alikuwa mbabe wa kutupwa,aliwahi kuua mpaka kamanda wake wa jeshi kwa kushiriki ushoga.Cessare alimpa mimba dada yake wa kuzaliwa Lucrecia.Cessare picha yake ndio inayotumika kama taswira ya yesu.
mkuu nilichooona ni kuwa unamkubali sana max plunck poa ni role model wako.sasa most genius mmoja ntawawekaje na hao,,,
Naona umemuanzia Einstein, hujui Plank alimuona Einstein wa kawaida tu na hakuwahi kumchukulia genius, bas tu Plank alivoikubali RELATIVITY na kuwa friends ndio Einstein kupata media promo na kuwa genius of 20th century kumbe hastahili, hao wengine Bohr sawa kajitahidi atomic structure, Schrödinger equation ngumu lakini The father of Quantum mechanics anajulikana Max Plank
Yesu ni binadamu? yani unalinganisha Mungu na kina Da vinci? hauna akili pumbavu