HAKI HUWA HAILILIWI INADAIWA!Jamani sorry... Jana sikuwa na nafasi ya kuwarudishia feedback... Kifupi ni kwamba jana wifi amejibeba kweli kweli... Kaka yake alivyokuja nikamchana live kuwa nimechoka masimango ya ndugu zake nikampa ufunguo kwenda kufungua... Hamad! Uso kwa uso na dada yake ndani ya night dress yangu kajikunyata... Ameshakuwa mwekundu kwa kilio... Kaka yake akamuuliza alichokifuata chumbani kwake kitu gani? Mwanamke nikafunguka... Nikamchana vibaya huyo chaunabe... Brother kuona kimetibuka ikabidi amrudishe dada yake nyumbani kwao usiku huo huo... Ameomba msamaha... Najua ameenda kuwaambia wanoko wenzie ili wazidishe mashambulizi...
mwe hii ngoma utaweza kuicheza ....?Jamani sorry... Jana sikuwa na nafasi ya kuwarudishia feedback... Kifupi ni kwamba jana wifi amejibeba kweli kweli... Kaka yake alivyokuja nikamchana live kuwa nimechoka masimango ya ndugu zake nikampa ufunguo kwenda kufungua... Hamad! Uso kwa uso na dada yake ndani ya night dress yangu kajikunyata... Ameshakuwa mwekundu kwa kilio... Kaka yake akamuuliza alichokifuata chumbani kwake kitu gani? Mwanamke nikafunguka... Nikamchana vibaya huyo chaunabe... Brother kuona kimetibuka ikabidi amrudishe dada yake nyumbani kwao usiku huo huo... Ameomba msamaha... Najua ameenda kuwaambia wanoko wenzie ili wazidishe mashambulizi...
HAKI HUWA HAILILIWI INADAIWA!
ahaahahahahaha akawatumie salamu na wenzie!
SIPATI PICHA kifuatacho ITV baada ya kaka kutoka kurudisha dadaake nyumbani!
ehehhehhehe hii no need ofu feedback!
watu wana:yell: saaaaaana!!!!
...ya utando wa buibui.
kwa hiyo na wewe unashabikia agegedwe na kmawifi type hizo hasara tu......ukute kaka ake ndio mwenye tatizo
muache ajibebe tu..........
kwa hiyo na wewe unashabikia agegedwe na k
aka yake?
sawa mama kawasikilize tu.....ila kuwa mpole mmalize tofauti zenu.....ndo changamoto hizo za ndoa......Kapigiwa simu... Tunaitwa kwao kuna kikao.
Kapigiwa simu... Tunaitwa kwao kuna kikao.
Sorry, I'm looking where I'm not going!!!Sorry' i'm going where i'm not looking!!!
hata mim nimemuuliza hiyo ngoma aliyoianzisha ataweza kuicheza....?hahaha
tatizo lako unatafuta ushindi si suluhu.
sasa mpira ndio umeanza.