Leo vipi leo?


Hahha....basi ntakununulia mpya.Itasaidia???

Mhhhh nasuburia hiyo faragha!!!
 
Halafu ngoja nichafue hewa humu,Kloro,babu Aspirin na kimey walichemka kwenye mbio za kutafuta nafasi ya kula bata na feis buku!!Wakaanza kupiga makelele!!
 
hehehe Eiyer chonde chonde mkuu usje ukachafua CV dakika za 90, kule alikuwa babu aspirin bana sio mimi
 
QUOTE=klorokwini;2829418]Kamanda naona sasa umechoka kuishi uraiani, idelete hii post yako kabla sjawasiliana na afande kova[/QUOTE]

Mhhh sio mimi niliandika bana kuna mtu kaiba paswedi yangu bana
Halafu mi si unanijua bana a
 
Mimi nadhani hali ya hewa, ilikuwa ni muafaka kwa vi-date........... muda wa jf utoke wapi?
 
watajiju nina mpango wa kuwa nyumba ndogo so naanza kuwekeza kwa the boss
vigezo na masharti kuzingatiwa
Angalau umewaziba watu midomo kwa kusema vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
losambo mbona sikujui hebu jiintroduce kidogo bwana nikupe hug
Mmmmmmh namuogopa the Boss asije kunimafia baada ya vigezo na masharti kuzingatiwa, kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeh.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…