Kama ni hivyo Hata Wakoloni waliwekwa na Mungu kwa nini mliwatoa? Unasoma kifungu kimoja unakimbilia post. Huyu aliyekufa Leo Msalabani hakutii mamlaka dhalimu, vinginevyo angemtii shetani kule jangwani maana nayo ni mamlaka.Vitabu hivyo hivyo vinasema tiini mamlaka zilizopo madarakani maana zimewekwa na Mungu.
Wenye roho ya kutu ni wale wanaowamiminia wenzao risasi kama chatu!! Wasiopenda kusikia mawazo mbadala.Mlio na roho za kutu na leo pia.. ni DUH!!!!
Biblia haitafsiriwi ivyo.Kama ni hivyo Hata Wakoloni waliwekwa na Mungu kwa nini mliwatoa? Unasoma kifungu kimoja unakimbilia post. Huyu aliyekufa Leo Msalabani hakutii mamlaka dhalimu, vinginevyo angemtii shetani kule jangwani maana nayo ni mamlaka.
Ndivyo ulivyofunzwa huko kijijini kwenu kijibizana na wazee wako kwa kujishika kidevu na kuweka mkono kiunoni? Such a shameful habit!Uwe na adabu mimi nimemlea babako baada ya kuzaliwa pale Mwambasa, miye ni babu yako!
Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.
Na haitafsiriwi apendavyo mtu.Biblia haitafsiriwi ivyo.
Warudi kwa waganga wao wa kienyeji ndiyo panawafaa.Ulitaka wakae viti vya nyuma ?, hadhi zinatofautiana mkuu,fahamu hilo,
Labda kwa dini za kishetani ndo kuna hadhi za watu, ila kwa dini za kweli hakuna aliye juu ya mwingine!Ulitaka wakae viti vya nyuma ?, hadhi zinatofautiana mkuu,fahamu hilo,
Mkuu ,na hiyo imani unayo ?, nilijua unatembea na ule waraka mliowandikia wale jamaa wausome kwa niaba yenuWarudi kwa waganga wao wa kienyeji ndiyo panawafaa.
Ndio uelewa wako,huna namna !Labda kwa dini za kishetani ndo kuna hadhi za watu, ila kwa dini za kweli hakuna aliye juu ya mwingine!
Hizo hadhi tu hupeana sisi huku, Kwa Muumba wetu aliejuu hakuna aliewathamani zaidi ya mwenzakeUlitaka wakae viti vya nyuma ?, hadhi zinatofautiana mkuu,fahamu hilo,
Nyie ndio wanafik wa kubwa mliyekua mnamtukana na kumdhihaki Kikwete Alafu Leo mnawaona Watanzania majuha mnataka muonewe huruma. Hakika mnavuna mlicho panda,Yale mliyokua mkimfanyia Kikwete msijaribu kuyafanya sasa, Mtaumia kweli kweli.Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.
Vizuri umenielewa!Ndio uelewa wako,huna namna !
Ulitaka wakae viti vya nyuma ?, hadhi zinatofautiana mkuu,fahamu hilo,
Kumlinganisha huyo jamaa kwa nafasi alionayo kwa sasa ni sawa na kusema baba yako na mama yako ni jinsia moja,ni kweli ?Hadhi yake n nje ya kanisa akiingia kanisan yy n muumin wa kawaida kama wengine wote...
Tena akikuta vit vmejaaa asimame kama wengine!!!
Shubamiiiiiit
Hata Juma p.Maharage atajinyenyekesha na kubusu masalaba wakati ni katili na roho mbaya kuliko shetaniKatika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.