Leo utawaona viti vya mbele ibada ya ijumaa kuu

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,915
Reaction score
4,565
Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
 
kila mtu alipwe kwa kile alichokipanda ndani ya kipindi cha pasaka na Juma tatu tupate habari ya zawadi aliyoipata kwa kipindi cha pasaka.
 
Na sasa Ni Imani yangu kuwa Lolote Tutakalo Azimia Katika Mkutano Mkuu na Kamati kuu Chadema dhidi ya Kujilinda na Hali hii na kukomesha Matendo haya dhidivya chama Chetu,Viongozi Wetu na Wanachama wetu,JUMUIYA UMOJA WA ULAYA na Mabalozi wote wa ULAYA watatuelewa vizuri sana.

Majambazi na wauaji wasiotakiwa kanisani ni aliyetamka hiyo statement hapo juu maana kina MBOWE wao ni malaika hawastahili hata kidogo kuguswa na jeshi la POLISI
 
Waovu wengi hutumia dini kama kichaka cha kujificha. Wapo kuanzia waumini wa kawaida viongozi wa kisiasa, serikali na hata viongozi wa dini wenyewe.
Haki na kweli hupindishwa wazi wazi kimatendo kinyume na maneno yao ya kinafiki.
Ni rahisi sana kuwatambua kupitia matendo yao.
 
Tena utakuta awapo kanisani anaomba apewe mbinu zaidi za kuweza kununuwa madiwani na wabunge wa upinzani, na vilevile magari yazidi kuharibika pale tu wapinzani wawapo segerea
 
Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.

Kwani ulitaka malaika ndio waende viti vya mbele?
 
Bado kidogo CDM watamuita Yesu ni kamanda na yupo upande wao. Uzuri Mwenyezi Mungu habagui wala hana chama wala upande, unayemuombea mabaya ndio anampa baraka zaidi.
 
Usishangae uyo ni kiongozi wa maraika
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
Kwahiyo wanaokaa mbele dhambi zao nyeusi kama mkaa!.......acha urongo wewe!
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
Unazungumzia kutubu wakati m/kiti akisikia kutubu anaenda kupekua makanisa eti uchochezi

Nanyi uvccm wakati mwingine mjitambue
 
Back
Top Bottom