Kwa Mungu hakuna hadhi. Mwenye hadhi ni Yule ampendezaye Mungu. Ingeruhusiwa leo Magu angeendesha ibada ya ijumaa kuu.Ulitaka wakae viti vya nyuma ?, hadhi zinatofautiana mkuu,fahamu hilo,

Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)
Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.
Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele
Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!
Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.

Kumlinganisha huyo jamaa kwa nafasi alionayo kwa sasa ni sawa na kusema baba yako na mama yako ni jinsia moja,ni kweli ?
hahaha jiweTena na suti nyeusi bench la mbele kabisa
Pia mungu wa Tanzania hatakiwi kukosolewa,ukimkosoa tu anakupoteza kwani mbingu dunia ni vyake yeye ataishi milele daima[/QUOTE]Malaika ni Magufuli yeye amesema kwa Kingwa chake akipenda huko Mbinguni Mungu atam demote Gabriel na nafasi yake atachukua yeyeMajambazi na wauaji wasiotakiwa kanisani ni aliyetamka hiyo statement hapo juu maana kina MBOWE wao ni malaika hawastahili hata kidogo kuguswa na jeshi la POLISI