Leo utawaona viti vya mbele ibada ya ijumaa kuu

Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.
Sio kuwahi tu.

Na kamera zitawamulika na watapewa nafasi ya kutoa speech nzuri kabisa mbele ya hadhira.
 
Majambazi na wauaji wasiotakiwa kanisani ni aliyetamka hiyo statement hapo juu maana kina MBOWE wao ni malaika hawastahili hata kidogo kuguswa na jeshi la POLISI[/QUOTE]Pia mungu wa Tanzania hatakiwi kukosolewa,ukimkosoa tu anakupoteza kwani mbingu dunia ni vyake yeye ataishi milele daima
 
UJUMBE WANGU WA PASAKA ''Kwa kweli Mwenyenzi Mungu atusamehe watanzania''
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.

Miongoni mwao wapo waliombomoa Dr ulimboka nao ilipofika pasaka wakakaa mbele kanisani. Halafu wakaja kumfanyia unyama mwingine halafu wakaenda kukaa mbele kanisani au msikitini kutubu. Wakaendelea hivyo hivyo na mwaka huu tukiwa na bahati kesho au hata leo mitandaoni tutaona picha zao wakiwa mbele makanisani au misikitini

Hii ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu
 
Na sasa Ni Imani yangu kuwa Lolote Tutakalo Azimia Katika Mkutano Mkuu na Kamati kuu Chadema dhidi ya Kujilinda na Hali hii na kukomesha Matendo haya dhidivya chama Chetu,Viongozi Wetu na Wanachama wetu,JUMUIYA UMOJA WA ULAYA na Mabalozi wote wa ULAYA watatuelewa vizuri sana.

Majambazi na wauaji wasiotakiwa kanisani ni aliyetamka hiyo statement hapo juu maana kina MBOWE wao ni malaika hawastahili hata kidogo kuguswa na jeshi la POLISI
Unakielewa hicho uliandika kwa rangi nyekundu bwege wewe?
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
Kutubu dhambi n.a. kuitenda tena n.a. tena hiyo hiyo ni BURE! NI DHIHAKA N.A. UNAFIKI!

Ajiombee tu n.a. wala asitake kuwapa kazi ya hovyo wengine!
 
Yule jamaa hudhani anamamlaka kuliko hata Mungu! Sio kukaa mbele tu yeye hutamani hata ibada aendeshe yeye!
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
hiyo ni kumdharau Mungu! huwez enda omba kusamehewa dhambi wakati unajua ukitoka hapo unaenda rudia dhambi ile ile!
 
Katika mambo yanayonesha dhihaka kwa mwenyezi Mungu ni kutoishi mafundisho ya kristo na kuwa wanafiki na wenye dhihaka kwa kristo . Ijumaa kuu inatukumbusha kifo cha bwana wetu yesu kristo baada ya safari ya mateso makubwa.lakini cha kushangaza baadhi yetu tunawafanyia wenzetu mateso makubwa kwa chuki kama za mayahudi kwa yesu na bado Leo ijumaa kuu tutawahi viti vya mbele ibadani.
Mungu awalipe kwa kadri ya matendo yenu.

Jamaaa atawahi kwa PENGO kubusu MSALABA
 
Huingia na unyenyekevu kama kondoo kumbe wananuka damu kama mbwa mwitu
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa amekuja duniani kwa wenye dhambi na sio wasio na dhambi (Luka 5:32-39)

Ndio maana watu wenye dhambi huitwa wakae mbele ili kuombewa na kutubu.

Kwa mantiki hii unashangaza unapopiga kelele kwa watu wenye dhambi kukaa viti vya mbele

Wewe usiye na dhambi huhitaji hata kwenda kanisani na pia unashangaza unapokuwa na wivu kwa wenye dhambi kupata toba!

Acha wanaojitambua wenye dhambi wakapate toba kanisani.
Vitabu hivyo hivyo vinasema tiini mamlaka zilizopo madarakani maana zimewekwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom