Leo usiku ilinitokea hali ya kukabwa na jinamizi

sasa inatakiwa uwe na elimu hiyo kabla. Kama hauna nilazima uhangaike kujinasua.
Kwa hiyo ulikemea shindwa kwa jina la yesu , ukaona sauti kama haitoki , ukaaNza kuimba kimya kimya damu ya yesu inafanya ukombozi ndio ukaachiwa?
 
Sasa mkuu mbona unatupa mkanganyiko kwenye habari yako? Ni kama watu wawili tofauti wanaozungumza kwa taarifa moja. 1. Umeanza kuelezea vyema ulivyolala na kusali, ukashtuka ukasali, ukahisi kuna mchawi anakushika shingo ukafurukuta hukutoka, ukasali akakuachia. 2. Unasema hiyo hali unaifahamu na inatokana na namna ulivyolala na kwa mtu mwingine angeweza kuhisi mambo ya kiswahili. Sasa hapo wewe ni yupi katika hao watu wawili? Au ndo hivyo umefoji kama ulivyo Wakufoji ?
 
Ni mmoja yuleyule anayetoa elimu kwa umma.Watu wasihisiane ubaya kwa ndoto wanazoota au wajihi wa majirani.
NB:Mimi ni wakili wake namjibia.
 
Swali langu ni kwa nini alisali tena mara tatu hadi akahisi sala zake zimemtoa kwenye hiyo hali ambayo tena anaamini haiendani na hiyo imani?
 
Ni baada ya usingizi kukata nikabadili mkao wa kulala kwa kusogeza kichwa na shingo juu ya mto.

Baada ya kupitiwa na usingizi tena ndani ya dakika kadhaa.

Ghafla nikaona kunamwanga amepitisha mkono ndani ya shuka akaniwekea shingoni mkono wake akawa ananikaba bila kutumia nguvu kubwa.

Nikawa najaribu kuamka ili nijinasue ila na shindwa nikaishia kufurukuta tu huku nikiwa na hofu kubwa sana

Nikawa najiuliza maswali kwanini mchawi anikabe wakati nili sali ? . Tena nili sali mara mbili kwa usiku mmoja kabla na baada ya kushtuka.

{ Kwa hofu nikawza au hua na sali kimakosa ? Maana mimi sina dini naiombaga roho yangu mwenyewe }.

Nikarudia kusali upya !

Muda huo bado jinamizi limenishika.

Baada ya kusali tena ndipo nikashtuka na kuamka. Ila baada ya kuamka nikajua tu nilijibana shingo kisa kuhegamia mto.

Lakini kilicho nitoa hofu tayari nilikua naelimu ya hali hiyo nilichofanya kikajiweka vizuri nikalala tena.

{ Huenda kwa mtu asiye ijua hali hiyo angeamini kua alikabwa kweli }

✍️
Jinamizi ni nini kwa upande wako ili hali hauamini hayo mambo? Mbona kama unajichanganya mwenyewe. Bora ungesema ulitokewa na hali flani ambayo wengine wanaita jinamizi. Pathetic
 
Ni baada ya usingizi kukata nikabadili mkao wa kulala kwa kusogeza kichwa na shingo juu ya mto.

Baada ya kupitiwa na usingizi tena ndani ya dakika kadhaa.

Ghafla nikaona kunamwanga amepitisha mkono ndani ya shuka akaniwekea shingoni mkono wake akawa ananikaba bila kutumia nguvu kubwa.

Nikawa najaribu kuamka ili nijinasue ila na shindwa nikaishia kufurukuta tu huku nikiwa na hofu kubwa sana

Nikawa najiuliza maswali kwanini mchawi anikabe wakati nili sali ? . Tena nili sali mara mbili kwa usiku mmoja kabla na baada ya kushtuka.

{ Kwa hofu nikawza au hua na sali kimakosa ? Maana mimi sina dini naiombaga roho yangu mwenyewe }.

Nikarudia kusali upya !

Muda huo bado jinamizi limenishika.

Baada ya kusali tena ndipo nikashtuka na kuamka. Ila baada ya kuamka nikajua tu nilijibana shingo kisa kuhegamia mto.

Lakini kilicho nitoa hofu tayari nilikua naelimu ya hali hiyo nilichofanya kikajiweka vizuri nikalala tena.

{ Huenda kwa mtu asiye ijua hali hiyo angeamini kua alikabwa kweli }

✍️
Ikitokea tena usihangaike kunja kidole cha mkononi au mguuni utaamka chap.
 
Wewe huamini katika chochote?Imani yake ilimuongoza asali ndotoni na akiwa macho.
Unapotetea upande fulani haitakiwi uonekane na upande usioutetea my take alitakiwa asisali, aamke arekebishe mlalo wake halafu pakikucha ndo atuambie alichotuambia. Sasa alisali kwa ajili gani wakati anajua wazi hizo sala hazimsaidii? Sala ni imani na kama unasali ukaona jambo limeenda vizuri inapaswa kushukuru.
 
Nitetee upande halafu hapohapo niwe upande mwingine?Kama una imani unaachaje kutarajia ahueni au faraja?Hapo ina maana hauna imani.
 
Hakikisha unafua mashuka na hakikisha unaoga kabla ya kulala
 
Nitetee upande halafu hapohapo niwe upande mwingine?Kama una imani unaachaje kutarajia ahueni au faraja?Hapo ina maana hauna imani.
Ndo hicho alichokifanya yeye, mwanzo wa stori alionekana ni mtu wa imani lakini mwishoni akaikana imani yake
 
Back
Top Bottom