Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jul 12, 2012 #41 na akirudi home utasikia 'we mwanamke leta chakula hapa'. BADILI TABIA said: hao ndo wale wazee, nyumbani wanakula ugali na mchicha, yeye anapita baa kula nyamachoma na ndizi...... kweli uzazi ni wito... Click to expand...
na akirudi home utasikia 'we mwanamke leta chakula hapa'. BADILI TABIA said: hao ndo wale wazee, nyumbani wanakula ugali na mchicha, yeye anapita baa kula nyamachoma na ndizi...... kweli uzazi ni wito... Click to expand...
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 12, 2012 #42 hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi Mamndenyi said: na akirudi home utasikia 'we mwanamke leta chakula hapa'. Click to expand...
hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi Mamndenyi said: na akirudi home utasikia 'we mwanamke leta chakula hapa'. Click to expand...
Mama Yeyoo Senior Member Joined Mar 25, 2012 Posts 101 Reaction score 38 Jul 12, 2012 #43 Losholoo kwa sana tu leo...ukifika muda karibia
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jul 12, 2012 #44 Leo nafanya kama wewe nataka niweke kwenye kibobo hela yakupata nembo kama ya kwako binti yangu. BADILI TABIA said: hiyo inaitwa chalinze wimaaaaa Click to expand...
Leo nafanya kama wewe nataka niweke kwenye kibobo hela yakupata nembo kama ya kwako binti yangu. BADILI TABIA said: hiyo inaitwa chalinze wimaaaaa Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jul 12, 2012 #45 mmoja kule mbeya alikuwa na hiyo tabia akirudi amelewa anaita 'we mwanamke leta chakula' akipelekewa matembele anamdunda mke kama tenesi. siku vijana wakamlia wazo acha wamchape, toka hapo ikawa heshima na adabu. BADILI TABIA said: hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi Click to expand...
mmoja kule mbeya alikuwa na hiyo tabia akirudi amelewa anaita 'we mwanamke leta chakula' akipelekewa matembele anamdunda mke kama tenesi. siku vijana wakamlia wazo acha wamchape, toka hapo ikawa heshima na adabu. BADILI TABIA said: hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi Click to expand...