Leo twende porini



Kudadadeki hawakujinyea walio kuwepo ndani humo?
 
aisee! najiuliza driver angetoka nduki kwa style ya zigzag? sasa na wao baby walker ya nini porini?kha!
 
sasa ndio nimeamini huyu mnyama hafai, juzi tupo mikumi saa mbili usiku tukakuta gari dogo inarudi reverse kwa kasi bado kidogo atugonge kama si jitihata za dereva kupiga honi continous na kuwasha taa zote, kumbe jamaa alikaa mwisho wa daraja katikati karibu kabisa na mwisho wa hifadhi upande wa MG. Sisi tulipofika tukamsubiri kama dk3 ndio akasogea pembeni akibamiza masikio yake sijui ndio hasira au ilikuwaje. Yaani...
 
nahisi ningekufa kabla hata gari halijatupwa kwenye bonde
 
iyo mzuri kama ikikukuta mama mjamzitoo!! unazaa bila mkunga
 
Oh God! Nadhani ningezimia siku tatu! I heard hawa wanyama wana hasira sana and maajabu ni kwamba wana mbio sana eti wakati they are SO HUGE..
 
Oh God! Nadhani ningezimia siku tatu! I heard hawa wanyama wana hasira sana and maajabu ni kwamba wana mbio sana eti wakati they are SO HUGE..

na kibaya zaidi hana kishindo...pamoja na umbo lake......
 
Raha na ubaya wa kamera. Wakati wengine wanaumia we unafotoa tu! Teeh teh!
 
...Daah. Walimchokoza nini??!!
Mr Tembo akaona awashikishe Adabu. Alaaaaahh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…