raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,951
- 37,289
SneidjerHuyu alikuwa ni mmoja wa mastaa wa kombe la dunia mwaka 2010 unaweza kumkumbuka?
View attachment 2180770
SneidjerHuyu alikuwa ni mmoja wa mastaa wa kombe la dunia mwaka 2010 unaweza kumkumbuka?
View attachment 2180770
Sawiaaa kabisaSneidjer
Ronaldo anajitunza sana vijana wadogo hawa wanatoka kitambi yeye yupo fit.Huyu alikuwa ni mmoja wa mastaa wa kombe la dunia mwaka 2010 unaweza kumkumbuka?
View attachment 2180770
Jamaa alikuwa anajuaMimi namkumbuka Fundi Diego Forlan jinsi alivyokuwa anaupiga mpira wa jabulani kwa ustadi wa Hali ya juu Sana.