Lupamba's grandson. Madem wapi babu, wale dadazangu. Kama vipi nikupe namba.Oya mmwana ongea na mama fresh ana noma awezi kukufukuza ongea nae ana neno ,ila na wewe pungiza una madem wengi
Umenikumbusha mbali sana mkuu....kupigia sabuni mswaki kisa jamaa amejifungia na demu wake hahahahahaOyaa Una dawa ya mswaki?
Umenikumbusha mbali sana mkuu....kupigia sabuni mswaki kisa jamaa amejifungia na demu wake hahahahaha
Oya umeme umekatika mwenye zamu ya LUKU afanye mchakato fasta tumechoka kukaa giza banaaa!
Kuna mdau ameanua boksa yangu ya kijivu kwenye kamba ya kati angalieni kwenye nguo zenu plz mnirudishi Ina kitobo kwa chiniOya umeme umekatika mwenye zamu ya LUKU afanye mchakato fasta tumechoka kukaa giza banaaa!
Mandolini ni zile 110 za kizamank ya landrover za zamani taa zake ziko katikati hapa dar zinatumika sana kama break downMkuu mandolini ndio nini lol
Mbona huyu sio yule ulietutambulisha jana, Wala sio yule wa juzi pia?