Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Jamani mwenzenu nishakamilisha ujenzi wa kibanda changu huko chanika hivo mwezi ujao nahamia kwangu
JamiiForums-710029838.jpg
 
Siku napiga chabo tu maana nilikua macho.
Vibaka wanaingiza ndoano lao lile waivue simu ilikua kitandani na inaonekana maana tv ilikua on.
Sasa ile lile ndoano linakaribia kunasa simu nikalinasa mimi bana vuta ndani kwa nguvu zote naskia nje uko brother achia basi mi ndo nikaendelelea kulivuta ndani kwa nguvu zote.

Wale mateja sijui walijifunga kiunoni ama shingoni.
Bana badae sijui walijiokoa vipi wakatoka baru balaa wakaniachia lindoano lao la kuvua simu.

Hiyo Mwananyamala mitaa ya daladala camp miaka hiyo au garage mchangani.
 
Mama mwenye nyumba huwa mzuri sana wa roho na mwili

Halafu kafanana na mtoto wake yule wa kike

Sijui atakuwa na mdogo wake wa kike nimuoe
 
Joanah wangu,kwa ninavyoujua huu ulimi wangu 😅😅😅amini I siamini nikiamua kuutumia effectively huchomoi lazima unipe😅😅

Halafu mambo gani haya ya kuaibishana umeyaanza...mbona wewe unapikaga ugali mboga unategemea kwangu!au unafikiri nimekusahau eee😅😅


Mzima lkni kipenzi...umekuwa adimu sana now days
Kwani si tulikubaliana kunipa mboga ni jukumu lako?😂

Mie niko poa,nipo....habari za wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom