Leo tuambizane Ukweli: Kwa Nini Uwaze Mapenzi Kila Muda?

Leo tuambizane Ukweli: Kwa Nini Uwaze Mapenzi Kila Muda?

Matamanio ya Mungu ni kufanana na watu wake, ndio maana tunasema Mungu ni Bwanaharusi na sisi ni bibiarusi.
Kuwa mwili mmoja na Yesu
Mkifanya mapenzi na mtu Maana yake unataka kufanana na huyo mtu.
Ukimuacha Mungu ukaabudu miungu, tunasema umefanya uzinzi wa kiroho.

Life is sex, life is intimacy and sex create Bond, Muunganiko 😍

Na ndio maana kila mtu huwa anaota ndoto za mapenzi, it is just urafiki na kuwa karibu na hicho kiumbe ndio maana yake


Kupenda kuwaza Mapenzi ni tabia ya Mungu na viumbe vyake
 
Hiyo ni asili ya binaadam, maana alipatikana kwa kutumia hivyo viungo wanavyotamani kuvitumia.
 
Wakuu!
Kwa nini unawaza mapenzi kila muda?

Je huwezi kujizuia kwa kwa kufanya/kuwaza mambo mengine tofauti na kuzagamua?


Nini kinakusababisha uwaze mapenzi wakati wote?
Hakika moyo wangu unafanya paaahh kila ninapoona nyuzi zako, niseme tu ukweli nimekupenda mno
 
Wakuu!
Kwa nini unawaza mapenzi kila muda?

Je huwezi kujizuia kwa kwa kufanya/kuwaza mambo mengine tofauti na kuzagamua?


Nini kinakusababisha uwaze mapenzi wakati wote?
Kuna sababu mbili kubwa za kumfanya mtu awazie sex mara kwa mara. Ukosefu wa ajira na kutokua na lengo la maisha yako,
 
Wakuu!
Kwa nini unawaza mapenzi kila muda?

Je huwezi kujizuia kwa kwa kufanya/kuwaza mambo mengine tofauti na kuzagamua?


Nini kinakusababisha uwaze mapenzi wakati wote?
Ukipata jibu please niambie. Mimi kila baada ya dakika moja nawaza kugegeda, sijapata jibu sahihi.
 
Even now your thinking about it
3CDE91E0-2E2C-4742-98AB-99851DD11FD2.jpeg
 
Back
Top Bottom