leo temeke haibu tupu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

leo temeke haibu tupu!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by festor oyuke, Nov 8, 2012.

 1. f

  festor oyuke New Member

  #1
  Nov 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nini kimetokea?
   
 3. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,591
  Likes Received: 19,366
  Trophy Points: 280
  Dah inaonysha ulikua na xcitment sana ulipopost au ulikua umepania
   
 4. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,379
  Likes Received: 4,442
  Trophy Points: 280
  Wametangaza nafasi za kazi au tenda, Mbona hueleweki na povu linalokutoka????
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,669
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Haibu ni nini?
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,356
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  Kuna tenda ya kunasua mtu? Sema tuchangamke, mjini mipango
   
 7. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,599
  Trophy Points: 280
  Hii kitu ni aibu as ingeelimisha wengi ila naona forum hii imetoa thread zote kitu cha kusaidia kupunguza magonjwa katika jamii. Mbona hata kenya ilitokea?

  Hivi forum hii ni ya nini tena maana naona haijakaa kama ina uhuru bali vizingiti kibao?
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,878
  Likes Received: 1,963
  Trophy Points: 280
  Mzee mzima unatafuta kikosi cha kwenda kuwanasua wagoni???
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo dawa ya kunasiana inapatikana wapi?
   
 10. charger

  charger JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yani kazi kweli vijana wa siku hizi lugha ni tatizo
   
 11. d

  davy dee New Member

  #11
  Nov 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi bado siamini kama ni qeli, aliyeshuhudia kwa macho yake mwenyewe anipe ushuhuda
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,511
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kuna nafasi ya kazi au tenda ya kunasua watu?
   
 13. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,503
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Kuna jipya kwenye hiyo ishu ya jana wadau? Nimesikia jamaa wamenasuliwa kitaalamu ila wamesepa (died)
  Kweli? Au ni uzushi bin tetesi zisizo na ukweli?
   
 14. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Tanzania ina zaidi ya makabila 120 yenye lafudhi/lafidhi kadha.
   
 15. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Longolongo tu, si unajua bongo mabingwa kupepeta domo? Kama na shughuli za maendeleo zingeshabikiwa hivyo, mbona tungeipiku Marekani?
   
 16. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #16
  Nov 9, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,512
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  mimi ninayo na ukitaka nakupa ila ukifanya masihara inakunasa wewe mwenyewe.kwa hiyo lazima uwe makini.
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,669
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hujajibu swali.
   
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  labda kwenye ulimwengu wa pili tutakapogeuka vyura! ndio tutaipiku marekani!
   
 19. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,511
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tuna tatizo kubwa sana Watanzania, Kiswahili hatujui na Kiingereza pia hatujui, janga la Taifa
   
 20. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Watanzania wangine kutoka na eneo walilotoka hawatofautishi ra/la au ha/a. Hivyo, uwasamehe badala ya kusema aibu wakasema au wakaandika haibu. Badala ya kula wakasema kura au kura wakasema kula.
   
Loading...