YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo
1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda
2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi
3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda