Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa


harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,906
Likes
777
Points
280

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,906 777 280
*Tarehe kama ya Leo mwezi kama huu mwaka jana 25/10/2015 ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa wengi wanalalama mno tarehe hiyo imebadili vitu viingi kimaisha,kimtazamo ,kiuchumi

Kwa wale wengine huo ujumbevhapo chini unatuhusu kila kukicha afadhali ya Jana.


*_Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi.._*
 

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Messages
1,037
Likes
175
Points
160

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2014
1,037 175 160
Ama hakika watanzania hawata sahau kile walichokifanya tarehe kama ya leo mwaka jana pale ambapo watanzania tulikwenda katika masanduku ya kufanyia maamuzi sehemu mbalimbali hapa nchini
ama eidha maamuzi tuliyofanya yalikua ni sahihi ama si sahihi ila kiukweli tarehe 25/10/2015 ni tarehe ambayo haitofutika kamwe vichwani mwa watanzania

kwa upande wangu naona ni tarehe ambayo tulifanya maamuzi ya kuisoma namba
kila uchwao matumaini yanapotea ukiuliza unaambiwa tunajenga mfumo, kwani nchi ilikua imetafunwa sana oooh mara tulichezewa sana, bila kuchukua hatua yoyote imebakia ni kupiga tantalila tu kila uchwao, pesa inaporomoka thamani,, sukari inazidi kupanda, mafuta ghali, ilihali soko la dunia ni bei ya kawaida, hospitali hakuna dawa, uwezeshaji kwa upande wa wanyonge hakuna, kiufupi ni kama tumekwama mahala, na tunaisoma namba bila shaka, japo namuomba mungu atufikishe salama tuendako, kwani hata mungu katika qur an anasema mwanzo ni mgumu, japo nchi yetu haikupata uhuru mwaka huu, tuna miaka zaidi ya 50 ya kujitawala yenyewe. na njaa inatunyemelea na hapo ndo tutaisoma sote sio serikali wala wananchi, nimealalamika sana niishie hapa na utu uzima wangu huu nisijeambiwa nimekosa adabu
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
45,266
Likes
15,331
Points
280

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
45,266 15,331 280
Tarehe kama ya Leo mwezi kama huu mwaka jana 25/10/2015 ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa tunatamani iwe kama ni njozi....
Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi..
wewe peke yako ndio wajuta...mimi nilimchinja fisadi lowasa bila huruma
 

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Messages
327
Likes
220
Points
60
Age
31

ketone

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2016
327 220 60
tarehe 25/10 mwaka jana ndio watanzania walifanya kupiga kura ya kumchagua Mkuu wao...
ilikuwa hamshahamsha inayowapa waisha walioyachagua leo hii...
vizuri sana...kwa maamuzi mliyoyafanya
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
12,795
Likes
12,290
Points
280

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
12,795 12,290 280
Mchungaji Msigwa tayari alishajiweka sawa kuwa waziri wa mambo ya nje, lakini akaambulia patupu. Jamaa ana hasira kweli kweli sasa hivi.
Wako watu kibao waliokuwa wakitembea vifua mbele na matumaini hewa kuwa Subiri uchaguzi upite ndipo utanijua mimi ni nani nina kacheo kangu tayari nasubiri tu uchaguzi upite!! nitangazwe vyombo vya habari.Pesa zao zililiwa sasa hivi hata wakiwapigia simu waheshimiwa kuwa jamani njaa!! Waheshimiwa Walishadelete hata simu zao hawapokei na hata wakiwatafuta hawapatikani!
 
Joined
Oct 15, 2016
Messages
29
Likes
8
Points
5

mwanachi huru

Member
Joined Oct 15, 2016
29 8 5
Ukweli ni kuwa chadema hawatasahau siku hiyo kwa jinsi walivyoibiwa ushindi wao na ccm, na ushahidi ni ukwapuaji wa mitambo iliyokuwa inaratibu matokeo nchi nzima na kuwaweka ndani vijana waliokuwa wanafanya kazi hiyo.. kama ile mitambo ilikuwa inafanya kazi ya matokeo ya uongo leo kesi ingeshamalizika na vijana wangekuwa ndani ila kwa kuwa ni ujecha kesi ipoipo tu, hebu kuweni na hofu ya Mungu nyie vibaraka uchwara hata Mungu atawabariki.
mkuu nikikumbuka (imagine) sauti ya babu libuvu nasikitika sana mara
anna elisha nguira.......
sipunda .......... mjjp.. nel hadi niliacha kuangalia taarifa ya habari wk : but , only God knows with what happened.
 

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,727
Likes
3,522
Points
280

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,727 3,522 280
Naisikia ile sauti naisikia nikilala naisikia SAUTI YA LUBUVA.

"Hashim Rungwe Spunda kura 5 sawa na asilimia 0.002, Mama ana mgwira kura 1 sawa na asilimia 0.001,Ngoyai Edward Lowassa kura 49950 sawa na asilimia 49,John Pombe Magufuli kura 50200 sawa na asilimia 50.7"
 

Forum statistics

Threads 1,203,731
Members 456,939
Posts 28,126,749