Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by YEHODAYA, Oct 25, 2016.

 1. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,760
  Likes Received: 11,135
  Trophy Points: 280
  Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
  Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo

  1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda

  2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi

  3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda
   
 2. k

  kaishebo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2016
  Joined: Mar 1, 2016
  Messages: 737
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 80
  kwani walioshinda Pesa zao zimerudi?
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2016
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,470
  Likes Received: 26,361
  Trophy Points: 280
  Na Leo tuna kumbukumbu ya majonzi ya kifo rasmi cha uchumi wetu. Hakika mwaka huu mmoja maisha ya mtanzania yamedorora kama ng'ombe anayeugua sotoka. Kuna watu kama wangekuwa wanatumika kama kitoweo tungeshawafanya supu siku nyingi kuliko kuendelea kuwafuga
   
 4. nao

  nao JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2016
  Joined: Jul 30, 2015
  Messages: 1,359
  Likes Received: 1,014
  Trophy Points: 280
  Katika vitu ambavyo viliniacha hoi ni hili la kalamu hadi wasomi waliingizwa mkenge eti wanunue kalamu hahahaha.
   
 5. m

  marikiti JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2016
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,715
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  TUNASHUKURU WATZ KUKIKATAA HIKI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA
   
 6. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2016
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,946
  Likes Received: 8,475
  Trophy Points: 280
  Tukutane oktoba,25...walijikaanga na mafuta yao wenyewe....watanzania walichagua ukweli na kuacha wavaa fulana za 'malofa na wapumbavu katika ubora wao'
   
 7. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,760
  Likes Received: 11,135
  Trophy Points: 280
  Wasomi ilikuwa kituko mtu unamkuta kanunua peni mbili anasema ukiingia chumba cha kupiga kura kunaweza kuwa na teknolojia ya kuzuia peni isiandike kwa hiyo wengine walikuwa na peni mbili hadi tatu.Kwa mara ya kwanza niliona wasomi wakiwa mazezeta
   
 8. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2016
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Hakika waliaibika kwa kipigo! Waligawana vyeo vikaota mbawa! Mungu ni mwema sana. Katuepusha Nchi kuangukia mikononi mwa wenyewe ajenda binafsi! Asante Mungu wa Israel.
   
 9. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2016
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,238
  Likes Received: 6,896
  Trophy Points: 280
  Mchungaji Msigwa tayari alishajiweka sawa kuwa waziri wa mambo ya nje, lakini akaambulia patupu. Jamaa ana hasira kweli kweli sasa hivi.
   
 10. Kifaurongo

  Kifaurongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2016
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 2,700
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako usiku wa tarehe 24 kuamkia 25 October haikuwa siku wa kupongezana, Kwa Dar ulikuwa usiku wa Tambiko na kila Bar za wale wenzetu kulichinjwa na kumwaga damu ya Mbuzi. Kwa walioona pale Ubungo mataa kulifungwa vitambaa vya Sanda vyenye maandishi ya lugha isiyojulikana vikiwa na jina la Lowassa na jingine likiwa na majina ya wagombea wa Ubunge likiwa limewekewa Mipaka ya rangi nyekundu kuzunguka kila jina
   
 11. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,760
  Likes Received: 11,135
  Trophy Points: 280
  Michango pia iliendana na cheo hewa mtu alichogawiwa .Mtu akigawiwa cheo hewa atakachopewa kama ni kikubwa na mchango ulitakiwa mtu atoe mkubwa zaidi kwa ajili ya kampeni ili kushika nafasi ya hicho cheo hewa.

  Wengine waliuza majumba ,wengine walikopa wakiwinda vyeo hewa vilivyoota mbawa.Leo ni siku yao ya maombolezo ya mwaka mmoja toka vyeo hewa vilipoota mbawa.
   
 12. dlnobby

  dlnobby JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2016
  Joined: Jul 30, 2014
  Messages: 2,224
  Likes Received: 2,429
  Trophy Points: 280
  Ivii yule bwana masubwi bado anapigana
   
 13. Ngushi

  Ngushi JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2016
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 7,121
  Likes Received: 13,482
  Trophy Points: 280
  Rais tembo hatufai
   
 14. O

  Offline User JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2016
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,858
  Likes Received: 1,565
  Trophy Points: 280
  wale walopiga kura Kinondoni ndo wasomi wetu; Mahiga, Ndalichako, Tulia
   
 15. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2016
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Soma Sheria ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa Sura 288. Muulize Lisu atakuelimisha we binti
   
 16. e

  emalau JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2016
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,432
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Ni ujinga wa hali ya juu mwanao kumpa majibu ya mtihani alafu matokeo yakitoka amefauru unaanza kushangilia kama zuzu!

  Nani asiyejua kwamba Lubuva alitangaza matokeo feki? nani asiyejua kwamba kipindi cha uchaguzi alikuwa analala iku..u? nani asiyejua kwamba matokeo ya mwisho hayaendani na hesabu amabayo hata mtoto wa darasa la pili angeweza kujumlisha. Mambo mengine mnajitekenya wenyewe mnacheka.

  Kama mlishinda mbona mnaogopa UKAWA wasifanye mikutano yao?

  Kwa ujumla uchaguzi Tanzania ni kiini macho na mimi nimeshaamua, kama tunaendelea na mzingira haya ambayo wasimamizi wa uchaguzi watabaki kuwa ni wakurugenzi wa halmashauri (DED) ambao kwa sasa hivi wamewekwa makada wa chama, na kama wasimamiz wakuu wa uchaguzi watabaki kuwa ni wateule wa rais mimi mwaka jana ndo ulikuwa mwisho wa kupiga kura, SIWEZI KUENDELEA KUSHIRIKI MAIGIZO. I stand to be corrected.
   
 17. Kifaurongo

  Kifaurongo JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2016
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 2,700
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Lubuva alijitahidi kuwaomba wenye ushahidi wa mwatokeo feki wayapeleke kabla hajamaliza kutangaza matokeo ili alinganishe na matokeo anayoyatangaza yeye, hakuna aliyeyatoa. kurudia kuimba wimbo wa feki ni wendawazimu
   
 18. e

  emalau JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2016
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,432
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Vuta kumbukumbu mkuu, Juma Duni walipeleka ushahidi wakarudishwa mlangoni hakuna aliyewaruhusu kuingia ndani. Tunachohitaji kwenye chaguzi zetu si kuambiwa tu kwamba haki imetendeka tunataka pia kuona kwamba haki imetendeka.
   
 19. jiwe angavu

  jiwe angavu JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2016
  Joined: Aug 28, 2015
  Messages: 1,309
  Likes Received: 1,597
  Trophy Points: 280
  Ilikua ni siku ya kukamata vichinjio..ila viliwachinja wenyewe..
   
 20. Kifaurongo

  Kifaurongo JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2016
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 2,700
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Duni hakupeleka ushahidi alipeleka barua ukumbini kusitisha zoezi la kutangaza matokeo Kumbuka pale haikuwa ofisi ya tume. Barua inapokelewa Ofisini kwa taratibu za kiofisi sio unamtafuta mtu barabarani unamkabidhi barua. alielewa akaipekeka ikiwa haina ushahidi wowote
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...