mwanachi huru
Member
- Oct 15, 2016
- 30
- 8
wanaogopa kujenga dar ati wataonekana ukawa wanaleta dvpment. ni kuhama tu hakuna namna sanaKwa mara ya kwanza chadema kuifukuza ccm dar mpaka kumfanya raisi wao kujiamulia kuhamia dodoma
wanaogopa kujenga dar ati wataonekana ukawa wanaleta dvpment. ni kuhama tu hakuna namna sanaKwa mara ya kwanza chadema kuifukuza ccm dar mpaka kumfanya raisi wao kujiamulia kuhamia dodoma
si wajua wakikanyaga jani wanahisi ni nyokaWoga wa CCM na serikali yake dhidi ya UKAWA hauakisi ushindi wa kishindo ambao anausema mtoa hoja hapa. Wanajua wenyewe siri yao...
MASIKINI,KUMBE CCM WALISHA TUMIA GOLI LA MKONO NA HATA ALIYEPEWA USHINDI HAJUI ALISHANDAJE NA KUPANGIWA CHA KUFANYA SASA.Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo
1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda
2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi
3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda
Hujui!!!?Hii inahusiana vipi na Jukwaa la Elimu?
Umenikumbusha Dr Shein wa CCM asilimia 45.6; Seif Sharif Hamad wa CUF asilimia 52.8Naisikia ile sauti naisikia nikilala naisikia SAUTI YA LUBUVA.
"Hashim Rungwe Spunda kura 5 sawa na asilimia 0.002, Mama ana mgwira kura 1 sawa na asilimia 0.001,Ngoyai Edward Lowassa kura 49950 sawa na asilimia 49,John Pombe Magufuli kura 50200 sawa na asilimia 50.7"
Ulikuwa Uchaguzi wa aina yake duniani kimahesabu.Tukutane oktoba,25...walijikaanga na mafuta yao wenyewe....watanzania walichagua ukweli na kuacha wavaa fulana za 'malofa na wapumbavu katika ubora wao'
Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo
1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda
2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi
3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda
kwa mara ya pili dk tulia,prof mbawala waongeza kura za udiwani.maajabu ya 9 hayaWasomi ilikuwa kituko mtu unamkuta kanunua peni mbili anasema ukiingia chumba cha kupiga kura kunaweza kuwa na teknolojia ya kuzuia peni isiandike kwa hiyo wengine walikuwa na peni mbili hadi tatu.Kwa mara ya kwanza niliona wasomi wakiwa mazezeta
hahahaha dah nahis alofanya research na kugundua kuwa kila watanzania 4 mmoja nikichaa hakukoseaKatika vitu ambavyo viliniacha hoi ni hili la kalamu hadi wasomi waliingizwa mkenge eti wanunue kalamu hahahaha.