DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,965
- 30,826
Una undugu na Makonda?Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto π
Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha π€£
Nikaona niseme nao ,uto wapate tuπ
UmefrahiπKoplo kakaa , kama anasubiria urojo π cc MawardatDellapina
Bado unashangilia ushindiπMnoπ
Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto π
Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha π€£
Nikaona niseme nao ,uto wapate tuπ
U hali gani kaka?Wapi tajiriiiiii secretarybird
Mdogo angu Monetary doctor
Kaka mkubwa MENEMENE TEKERI NA PERESI
Jasusi Eli Cohen π sema neno jasusi
Tulijenge Taifa letu kwa kununua bia kwa wingi.Ni ngoriiiii
Kaka tujajenga taifa