Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
LEO SHANGAZI KANIPIGIA SIMU
Shangazi: hallow umepata kazi uko mjini
Mimi: Ndio
Shangazi: kazi gani
Mimi: kazi ya ubinadamu
Shangazi: kwani ubinadamu ni kazi
Mimi: ndio
Shangazi: ongera, malipo je
Mimi: malipo hapa hapa duniani.
Sipendagi ujinga mm, hapa nimelala kwani yy ajui kama anko magu amebana
Shangazi: hallow umepata kazi uko mjini
Mimi: Ndio
Shangazi: kazi gani
Mimi: kazi ya ubinadamu
Shangazi: kwani ubinadamu ni kazi
Mimi: ndio
Shangazi: ongera, malipo je
Mimi: malipo hapa hapa duniani.
Sipendagi ujinga mm, hapa nimelala kwani yy ajui kama anko magu amebana