Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 383
- 412
- Thread starter
- #21
Naomba kujua umri wako kabla hujajibiwaAmeshindwa kuishangaza dunia kwenye umri wa boli aje aishangaze dunia akiwa mzee?
Naomba kujua umri wako kabla hujajibiwaAmeshindwa kuishangaza dunia kwenye umri wa boli aje aishangaze dunia akiwa mzee?
Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
Eeeh mnajisahaulisha sanaAmeshindwa kuishangaza dunia kwenye umri wa boli aje aishangaze dunia akiwa mzee?
Maskini, yeye kajikatia tamaaLeo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
Sio kweli mkuu ni suala la muda tu leoMaskini, yeye kajikatia tamaa
Unafaa ujengewe sanamu moroRonaldo ameshafanya mengi kwenye ulimwengu wasoka , wala haitaji kamechi kamoja ka timu ya wapumbavu kuja kuthibitisha ubora wake, labda kama wewe ni mshabiki wa mpira na sio mpenzi wa soka
Itakua wewe ni mama wa nyumbani hufatilii mpira kama huzijui namba za ronaldo kwenye soka duniani
AmeaanzaLeo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
Yamebaki 4Ameaanza