Leo nnalo mbona kitaeleweka .......!

Leo nnalo mbona kitaeleweka .......!

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,158
Reaction score
2,709
260538_175439539258792_148942699_n.jpg

ukisikia mwanaume kashikwa pabaya......
 
Lingekua dongo (nguna) angesevu.........unalipiga mkono kutoa changa tu..........
 
Hapo haina haja ya kujiuliza mara mbili2. imedondoka, iokote, kitu pwani.
 
Alikua anapika nnya nini mbona sielewi kitu gani?
 
Ten seconds rule mazee...kipanguse then kitu pwani..
Within ten seconds kinakuwa safe tena ukizingatia kitakuwa bado cha moto..
 
Mkuu pole ukizingatia giza lishaingia kila mtu amejifungia kwake huwezi sema unaenda kupiga story wakati unafanya timing ya msosi wao!!
 
unaula hapo hapo udongoni kwa kakaako we hujasikia umetoka udongoni na utarudi huko chapa msosi kaka au unaogopa tutakucheka umekula msosi wa chini.
 
hicho kichomwagika ni nini? maembe, viazi au? haya ndio maatizo ya kujidekea eti hapiti jikoni wakati dadaze wapo
 
makande mi nikila huwa sishibi lazima nishushie na ndizi. mia
 
heheheeeeeee menichekesha lol
pole yake huyo mpishi daah
 
Daaaaaaaah!hapo kazi ipo.halafu ndo ukute una siku kama mbili hivi umelala polepole sabuni ya roho ilikuwa hipatikani.uemipata leo ,unafanya mambo ndo hivyo tena kitu tefe chini.aisee unawezaa kupiga yowe mikono kichwani halafu jicho kavu machozi hayatoki.pole sana mirindimo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom