Mkuu mbona magari yote ni ya aina moja!hii itakuwa showroom!
Kwani wavaa nguo rangi gani?
Kama ni hivyo,basi huyu jamaa ni mshamba wa kufa mtu!Hahaahaaahaa itakua amenunua dozen thats why yanafanan
Mwanahisa ungeuliza uvae rangi gani leo maana viatu vyako ni dizaini moja ila rangi ndio tofauti,hapo ndipo ulipo chemka.