Leo nisipokufa basi sifi tena

Leo nisipokufa basi sifi tena

Lala tu utakufa bure labda mkeo ameenda kufanya usafi
 
Nenda ka hakikishe kwa macho yako then usifanye fujo kinachotakiwa mkeo atambue umejua na umemuona kisha akirudi nyumbani we endeleza mapenzi kama kawaida usionyeshe tofauti yoyote kama ana akili timamu ataondoka mwenyewe bila kuaga.kama utaamua kumrudisha mama watoto wako hiari yako,maana mapenzi ni upofu pole mmkuu.

Huu ni ushauri mzuri fanyia kazi lakin wakati we unapoteza humu Jf wenzako watakuwa wameshamaliza kugegedana
 
Nawashukulu wote mlionipa ushauri mzuri
 
USHAURI WANGU: Nenda na demu mpya wasubirie wakati wenyewe wanatoka we ingia na ws kwako then kula mzigo ukimaliza nenda naye home umtambulishe mke wako mtarajiwa na yuko tayar kuchukua nafasi yake
 
Mama neema mbona nipo nae hapa kwenye daraja la mabatini. Njoo lamogi.
 
Kama inakuuma hivyo hadi kusema utakufa umepata wapi nguvu ya kupost na kusubiri wadau wakupe ushauri?? Unasubiri ushauri huku wakati mkeo anagongwa kweli?? Just thinking.....
 
We baki zako nyumbani...mwambie rafiki yako aende hlf akuletee mrejesho na ushahidi wa picha na video.
 
Hebu acha uongo, kwa tukio hilo umeweza hadi kupost humu???
Hii sinema kampe shigongo aimalizie
 
Msubiri mama Neema arudi halafu nusa papuchi, kama jamaa aligegeda kwa condom lazima harufu ya Yale mafuta itabaki, then uamuzi unao mwenyewe.Ila kama alitumia zile zenye flavour utasikia harufu ya ndizi, strawberry, Apple mpaka avocado, au matango.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom