Leo nina hasira!

Leo nina hasira!

Habari zenu wapendwa,

Yaani mimi mwenzenu leo sijui nina tatizo gani, kila mtu leo ananikasirisha, hata sielewi ni nini, sijui watu wameamua kunijaribu?!. Halafu kibaya zaidi kila kitu leo kimeenda ovyo toka asubuhi hadi sasa hivi. Yaani hasira ya almost siku nzima, yani one of those really bad days ndio am facing leo. Mungu anisaidie nilale hata na amani, au na kasmile hata kidogo.

Its a really bad Monday for me.

Dear did you pray before starting your day? Ni vyema kuanza your day with God before human being.. Sala inasaidia sana na kufanya urahisi Wa siku yako. Kuna watu wengine huwa wanatembeaga na nguvu zisizo za Ki Mungu . Na nia yao ni kutimiza missions zao ulimwengu wao wenyewe. Tunakutana na watu ki natural but kiroho ni Pepo tuu. So ni bora kujilinda ndani ya Sala na kujifunika uweponi mwa nguvu za Mungu , Amen. Pole sana . Its not too late for you kusoma Neno la Mungu na kusali kwa kujiweka mikononi mwa Bwana, Amen. Thanks..
 
Amen!!!..nimefanya hivyo na leo will be better than yesterday because God is on my side..nimeamka and am thankful am blessed with a new day,be blessed always
 
hasira hasara,punguza hasira,zikikuzidi sana kimbiakimbia au piga push up 100.
Nalog off
 
Back
Top Bottom