Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,616
- 19,545
hivi hawa waganga kweli huwa wanawaacha tu hawa wanawake? tu hawa viumbe wanatembea barabarani tunaona kama wazuri wamechafukwa sana aisee. imagine huyo ndo anakuwa ni mkeo, na ana shepu nzuri tu ila ndo mshirikina.