Leo nina hasira ya kunyimwa Papuchi

hivi hawa waganga kweli huwa wanawaacha tu hawa wanawake? tu hawa viumbe wanatembea barabarani tunaona kama wazuri wamechafukwa sana aisee. imagine huyo ndo anakuwa ni mkeo, na ana shepu nzuri tu ila ndo mshirikina.
 
Habar mabibi na mababu....

Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.

Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku
Wewe mwenzako yupo kitandani na boya mmoja akibadilisha style hadi ya mbuzi kagoma kwenda wewe umekomaa na visim vyako m@m@eee
 
Nilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .

Aliyezingua asubuhi anipigia leo nakuja ,nikamwambia kwa jibu fupi "poa ". Nikawa napotezea msg zake au calls ,siku nyingine tena katuma msg naomba nisaidie 20,000 nina shida kweli. Nikamwambia nenda kadai hotelini ni zaidi ya hiyo.
Mkuu rudi kule jimboni kwetu, tuna mengi ya kujadili huku hapakufai
 
Habar mabibi na mababu....

Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.

Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku

Ww ulifanyaj ulivyokosa papuchi siku ya miadi??!
Ilishawahi kunitokea mara mbili na nimeshamtumia na nauli shillings 15000/= elfu . Usiombe Ila mmoja nilirudishaga muamala wangu wote
 
Habar mabibi na mababu....

Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.

Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku ulichobarikiwa bas bila hiyana akakubali na kunambia tukutane jumapili, na toka hyo majuzi bhas n mameseji ya kutiana genye tu mpka najikuta
It looks like a revenge. Unachoweza kufanya nenda tanzania exotic, tinder or badooo. Stay safe protect yourself.
 
Nilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .

Aliyezingua asubuhi anipigia leo nakuja ,nikamwambia kwa jibu fupi "poa ". Nikawa napotezea msg zake au calls ,siku nyingine tena katuma msg naomba nisaidie 20,000 nina shida kweli. Nikamwambia nenda kadai hotelini ni zaidi ya hiyo.
Good hii safi sana.
 
It looks like a revenge. Unachoweza kufanya nenda tanzania exotic, tinder or badooo. Stay safe protect yourself.

Mademu wa Exotic wanajifanya matawi sana na gharama zao.

Halafu wengi hawaweki picha zao, nilishawahi kumkimbia demu Lodge.
Picha aliyoweka Exotic ni kali sana, pisi ya maana kumbe si yeye, nilichokifanya nikamwambia nachukua kinywaji nje, nikapotea mazima.
 
Nilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .

Aliyezingua asubuhi anipigia leo nakuja ,nikamwambia kwa jibu fupi "poa ". Nikawa napotezea msg zake au calls ,siku nyingine tena katuma msg naomba nisaidie 20,000 nina shida kweli. Nikamwambia nenda kadai hotelini ni zaidi ya hiyo.
Undava undava tu. Noma sana
 
Ukidate na vitoto ndio vinakua hivyo Mara nyingi hua vinafake promise
 
Back
Top Bottom