Leo nina hasira ya kunyimwa Papuchi

Lini unaendae supa maketi ununue juice za box, maapple, chocolate na mazaga....

Ila humu uongo mwingi
Nimefungwa king'ora hapa, siwezi kwenda huko kwa dhumuni la mada hii.

Hadithi ili inoge lazima iwe na vionjo, hivyo unavyoona ni uwongo ndio vionjo vyenyewe
 
Bro mi nililipia hadi room ya g.house dem hakuja na sim hakupokea, siku nyingine tu eti anasema alipata ajali ya bodaboda hadi kuzimia baada ya kupigiza kichwa kwenye lami cha ajabu hadi leo sijawahi kuona kovu wala aliposhonwa konyo kabisa hawa
 
Hahaha kumbe kila mvulana lijali imempata hii....nakumbuka nililipia lodge 15,000. Namsubiri moureen wangu atokeee....kaniacha kwenye mataa.....
Nikiwa kwenye kipindi cha internal medicine class nkaona sms...uko wapi? Ntapita huko chuoni kwenu vp utakuwepo?

Nkamwambia nipo baby karibu sana.....hahaha nilienda kumbembea kwa hasira kutoka kifuani naona mtu anatupa miguu na kutetemeka...aloo niliogopa mdudu akasinyaa kabisa
Nkarudi kuendelea na vipindi nikamuacha apumzike tu....nilienda mtoa saa moja jioni anaona tu aibu
 
Dem kakukomoa kusudi
Una mkono wa birika
Madem wakikuelewa hawadanganyi hapo angetimb chap
 
Back
Top Bottom