KILIVITE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 1,302
- 556
"Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki."Mithali 16:31,Nyumba ya mtu mbaya itabomolewa; Bali hema ya mwenye haki itafanikiwa Mithali 14:11..Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.Mithali 14:34 "Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake" Mithali 17:12. CCM mjiandae 25 Oktoba,2015,Sisi "Wapumbavu","malofa" na "mbumbumbu" tutakuwa katika ubora wetu nyumba yenu ITABOMOLEWA asubuhi mapema sana !!!Lofa mwenzangu, gonga LIKE twende pamoja na Lowassa!!