Leo nina furaha ya ajabu, nimevuna 14 wa CCM

Leo nina furaha ya ajabu.Nimefanikiwa kuwashawishi rafiki zangu 14 ambao walikuwa wanatarajia kumpigia kura JPM ili waweze kumpigia kura Edward Ngoyai Lowassa pamoja na madiwani na wabunge wa vyama vya UKAWA.

Mkakati wangu ni kwamba mpaka kufika tarehe 25/10/2015 niwe nimewashawishi wapumbavu na malofa wenzangu wapatao 224 kwa wastani wa watu 14 kila siku.

Naamini kwa mkakati huu tutaiweka pembeni CCM tunayoipenda ili ikajitafakari ikirudi ije upya.Kumbuka mimi ni Mwana CCM kindakindaki ambaye sijaridhishwa kabisa na mwenendo wa chama changu kukabiliana na Ujinga,maradhi,umaskini na rushwa.

Mwana CCM mwenzangu,kama unaipenda CCM amua sasa kuiweka pembeni ikafanyiwe marekebisho muhimu na ya Kimsingi.Gari bovu halifai barabarani.Litasababisha ajali mbaya isiyosahaulika.

Tuifanyie overhaul kwa miaka mitano MUNGU akipenda irudi ikiwa mpya.Je unaungana na mimi?Kama ndiyo gonga LIKE.

Kama hapana potezea!!

Ungejiwekea malengo ya kushuhudia habari za Yesu ili angalau waokolewe watu 14 kila siku, ungepata thawabu kubwa mbinguni!
 
Attachments

  • 1444387024900.jpg
    1444387024900.jpg
    58.6 KB · Views: 329
  • 1444387043192.jpg
    1444387043192.jpg
    58.4 KB · Views: 284
Nijibuni Ukawa
 
Attachments

  • 1444387149023.jpg
    1444387149023.jpg
    53.1 KB · Views: 313
Leo nina furaha ya ajabu.Nimefanikiwa kuwashawishi rafiki zangu 14 ambao walikuwa wanatarajia kumpigia kura JPM ili waweze kumpigia kura Edward Ngoyai Lowassa pamoja na madiwani na wabunge wa vyama vya UKAWA.

Mkakati wangu ni kwamba mpaka kufika tarehe 25/10/2015 niwe nimewashawishi wapumbavu na malofa wenzangu wapatao 224 kwa wastani wa watu 14 kila siku.

Naamini kwa mkakati huu tutaiweka pembeni CCM tunayoipenda ili ikajitafakari ikirudi ije upya.Kumbuka mimi ni Mwana CCM kindakindaki ambaye sijaridhishwa kabisa na mwenendo wa chama changu kukabiliana na Ujinga,maradhi,umaskini na rushwa.

Mwana CCM mwenzangu,kama unaipenda CCM amua sasa kuiweka pembeni ikafanyiwe marekebisho muhimu na ya Kimsingi.Gari bovu halifai barabarani.Litasababisha ajali mbaya isiyosahaulika.

Tuifanyie overhaul kwa miaka mitano MUNGU akipenda irudi ikiwa mpya.Je unaungana na mimi?Kama ndiyo gonga LIKE.

Kama hapana potezea!!

Hahahah eti wapimbavu na malofa wenzako
 
Mi nimebadili kata nzima na wamenibembeleza nigombee udiwani na kampeni wamenikataza wa ccm alijitoa niko wa act wazalendo ambae atapata kura 3 yake mke wake na shangazi yake
 
Pole sana, nikusikitishe tu ni bora uache kushangilia, maana mimi hapa nilipo nimepasuka kwa furaha, leo nimevuna watu 536 wenye kadi za kupigia kura na ambao walishaamua kumpigia kura Lowasa.

Sasa fanya mahesabu yako, niliowapata mimi, toa wako, utajua ccm imepata faida bei gani.

Biashara mahesabu sio mbwembwe

wewe ndo mbwembwe kweli,,,,,,,,,,,jitambue basi mkuu....
 
Kipindi hichi kilichobakia wote tunatakiwa kuifanya hii kazi
 
Leo nina furaha ya ajabu.Nimefanikiwa kuwashawishi rafiki zangu 14 ambao walikuwa wanatarajia kumpigia kura JPM ili waweze kumpigia kura Edward Ngoyai Lowassa pamoja na madiwani na wabunge wa vyama vya UKAWA.

Mkakati wangu ni kwamba mpaka kufika tarehe 25/10/2015 niwe nimewashawishi wapumbavu na malofa wenzangu wapatao 224 kwa wastani wa watu 14 kila siku.

Naamini kwa mkakati huu tutaiweka pembeni CCM tunayoipenda ili ikajitafakari ikirudi ije upya.Kumbuka mimi ni Mwana CCM kindakindaki ambaye sijaridhishwa kabisa na mwenendo wa chama changu kukabiliana na Ujinga,maradhi,umaskini na rushwa.

Mwana CCM mwenzangu,kama unaipenda CCM amua sasa kuiweka pembeni ikafanyiwe marekebisho muhimu na ya Kimsingi.Gari bovu halifai barabarani.Litasababisha ajali mbaya isiyosahaulika.

Tuifanyie overhaul kwa miaka mitano MUNGU akipenda irudi ikiwa mpya.Je unaungana na mimi?Kama ndiyo gonga LIKE.

Kama hapana potezea!!

Ni pm nikurushie ya bando ili uendelee kutujuza.
 
Nilidhani umevuna wa kwenda kwqa Yesu kumbe umevuna wa kwenda kwa mafisadi.Kweli wajinga ndio waliwao.
Leo nina furaha ya ajabu.Nimefanikiwa kuwashawishi rafiki zangu 14 ambao walikuwa wanatarajia kumpigia kura JPM ili waweze kumpigia kura Edward Ngoyai Lowassa pamoja na madiwani na wabunge wa vyama vya UKAWA.

Mkakati wangu ni kwamba mpaka kufika tarehe 25/10/2015 niwe nimewashawishi wapumbavu na malofa wenzangu wapatao 224 kwa wastani wa watu 14 kila siku.

Naamini kwa mkakati huu tutaiweka pembeni CCM tunayoipenda ili ikajitafakari ikirudi ije upya.Kumbuka mimi ni Mwana CCM kindakindaki ambaye sijaridhishwa kabisa na mwenendo wa chama changu kukabiliana na Ujinga,maradhi,umaskini na rushwa.

Mwana CCM mwenzangu,kama unaipenda CCM amua sasa kuiweka pembeni ikafanyiwe marekebisho muhimu na ya Kimsingi.Gari bovu halifai barabarani.Litasababisha ajali mbaya isiyosahaulika.

Tuifanyie overhaul kwa miaka mitano MUNGU akipenda irudi ikiwa mpya.Je unaungana na mimi?Kama ndiyo gonga LIKE.

Kama hapana potezea!!
 
Nilidhani umevuna watu kwa Yesu,kumbe umevuna kwa mafisadi.Wajinga ndio waliwao.

Pole sana. Una umri gani. Mbona unawaza vitu vidogo, au na akili yako ni ndogo. Njoo nikuongezee watu miatano ili usisumbuke kwa Maana Magufuli atapata kura zaidi ya milioni 15, sasa 224 unaowataka watakusaidia nini. Pole.
 
Ndani ndani ya boma langu jumla tupo watu 10 tuliojiandikisha, hii ni pamoja na vijana wananisaidia kazi. Wote hao ni watu wa Lowassa. Ninachofanya ni kuamka saa 11 kamili hiyo 25th, nakuwa dereva wao, trip mbili nawafikisha kituoni nahakikisha wamempigia kura ya ndiyo Lowassa.

Mabadiliko ni lazima.
 
Mimi kila huwa navuna wanachama wanne kwa siku,tokea Lowassa azindiue kampeni.
 
Leo nina furaha ya ajabu.Nimefanikiwa kuwashawishi rafiki zangu 14 ambao walikuwa wanatarajia kumpigia kura JPM ili waweze kumpigia kura Edward Ngoyai Lowassa pamoja na madiwani na wabunge wa vyama vya UKAWA.

Mkakati wangu ni kwamba mpaka kufika tarehe 25/10/2015 niwe nimewashawishi wapumbavu na malofa wenzangu wapatao 224 kwa wastani wa watu 14 kila siku.

Naamini kwa mkakati huu tutaiweka pembeni CCM tunayoipenda ili ikajitafakari ikirudi ije upya.Kumbuka mimi ni Mwana CCM kindakindaki ambaye sijaridhishwa kabisa na mwenendo wa chama changu kukabiliana na Ujinga,maradhi,umaskini na rushwa.

Mwana CCM mwenzangu,kama unaipenda CCM amua sasa kuiweka pembeni ikafanyiwe marekebisho muhimu na ya Kimsingi.Gari bovu halifai barabarani.Litasababisha ajali mbaya isiyosahaulika.

Tuifanyie overhaul kwa miaka mitano MUNGU akipenda irudi ikiwa mpya.Je unaungana na mimi?Kama ndiyo gonga LIKE.

Kama hapana potezea!!

Kazi nzuri kamanda !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom