Leo nimewamisije? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo nimewamisije?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Miwatamu, Oct 31, 2012.

 1. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Yaani hamwezi amini jinsi ambavyo imenuna leo tangu asubuhi umeme ulipokatika na sasa ndio kwanza umerudi dakika hii. Jamani wanajamvi mu wazima? Kama nanyi limewapata hili poleni! Lakini kubwa nilitaka kujua aliutangazia umauti wa muda uhai wake kisura Lara1 yu mzima na hasira za Boss wake zimeisha? Naomba anijuze au jirani yake.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Lkini c umenijibu? Nafurahi kukuona kam upo hai.
   
 4. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Moderators please do the needful kwa kuhamishia kule kunakopaswa CC na siyo hapa jukwaa la siasa.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  Mpigie kura yako lara 1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...