boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
- Thread starter
- #21
Waache wayaone si wanataka haki sawaMaisha sio rahisi kama wanavyofikiria.. labda wabahatike kama kina jack
Waache wayaone si wanataka haki sawaMaisha sio rahisi kama wanavyofikiria.. labda wabahatike kama kina jack
HawanisumbuagiNgoja waje
Kweli maisha yamekuwa magumu.
Hahahaha afanyiwe uchunguzi au atumbuliweAnayehonga itabidi CAG amuhusu
Labda wewe una ujinga wake ndio mana anatoa tuwanatoa sana tena hela nyingi inategemea ma mahusiano yenu
Ninakumbuka nilikaa na washikaji niliosoma nao long time, wenyewe ni vijana wa mishen town, mimi ninawazia kamshahara kangu, wale jamaa walikua wanatoa 100,000 mpaka inaisha na wananicheka mimi mtu wa budget.
Watakuwa walizipiga mahala hao
Baati:::::bahatimundimukanga??
wakuu kutokana na hali ya hewa leo kulikuwa na foleni sana sasa wakati natoka posta nikaamua nitembee mdogo mdogo labda mbele foleni litapungua nitapanda public transport mpaka home
Hali ilikuwa bado tete nikaamua nipitie njia ya manyanya maana ilikuwa short cut kwangu ili nifike haraka home.
baada ya kufika manyanya nikaingia uchochoroni maana naijua vizuri sana mitaa ile ili nitokee kambangwa secondary
baati nzuri nikakuta wadada wanajadili na kulalamika kuwa
"Wanaume siku izi hawatoi ela yaan wanaume zangu wote ukiwaomba ela wanakuzungusha na wengine wanakuzimia simu kabisa yaani mwaka huu tofauti kabisa na mwaka jana ambapo mwanaume unamuomba elfu 20 anakutumia elfu 25........"
Nilifarijika kidogo moyoni maana hata mimi huu mwaka tangu uanze sijaonga
Nawakilisha
Hahaha hakuna mtu asiyetaka kufaidi natunda yake mkuuSomo la kutosupport vizinga naona limeeleweka
Mkuu waliko wanajutia walichokifanyaNinakumbuka nilikaa na washikaji niliosoma nao long time, wenyewe ni vijana wa mishen town, mimi ninawazia kamshahara kangu, wale jamaa walikua wanatoa 100,000 mpaka inaisha na wananicheka mimi mtu wa budget.
Ahsante mkuuBaati:::::bahati
Sijaonga::::sijahonga
Cc Faizafoxy
Super mario sawa mkuuduu me kwangu hali iko tofauti kwani nahongwa na jimama langu. ila naona kama limepunguza huduma maisha hapa mjini naona kama yanayumba ivi.
mkuu sio wadada tuu wanalalamika bali pia sisi wanaume tunaona pesa na wanawake wetu zimepungua. raha sana kuwa handsome ful
Si ndo kitege uchumi chaoNani ahonge,kwa hizo naniliu zao au....
Mkuu siku izi wanahaha kama swala jangwani anayetafuta majiWanawake wengi wa kibongo bhana hawapendi kufanya kazi wao kutegemea kuchanua miguu ndo solution, safari hii kazi wanayo