Leo nimewakuta wakijadili kuhusu wanaume

Leo nimewakuta wakijadili kuhusu wanaume

Walizoea kupangishiwa nyumba, kulishwa, kununuliwa magari na Viwanja nadhani kwa magufuli kidogo hiv vitu vimeyumba wasikilizie had uongozi wa Magu uishe
Watakua wamezeeka ten years sio mchezo
 
Ni muda wa wanawake walio ndani ya ndoa kula matunda ya jasho LA waume zako ambao lilopokwa na michepuko maana huwezi bwana matumizi kwa mke wako hayo matumizi umbanie nan sasa
 
Ni muda wa wanawake walio ndani ya ndoa kula matunda ya jasho LA waume zao ambao lilopokwa na michepuko maana huwezi bwana matumizi kwa mke wako hayo matumizi umbanie nan sasa
 
Ni muda wa wanawake walio ndani ya ndoa kula matunda ya jasho LA waume zako ambao lilopokwa na michepuko maana huwezi bwana matumizi kwa mke wako hayo matumizi umbanie nan sasa
Nahis maombi yao yametimia
 
kuna wengine wataamua kuzaa kabisa ili awe anakula kupitia mtoto.
maana maisha yameshakuwa magumu mno!!
hahahahaa hiyo bado haitasaidia... namchukua mtoto nalea mwenyewe. muda wake wa kulea ukiisha 2yrs na mkataba 'khalas'
 
Walikuwa wamezoea kuchangishana pesa ya kula kitimoto halaf gheto analipa mmoja. Sasa hiv kila kichwa ndani analipia kodi ya meza, pango, bili nk. Moshi watarudi wengi mno this time around
 
mundimukanga??

wakuu kutokana na hali ya hewa leo kulikuwa na foleni sana sasa wakati natoka posta nikaamua nitembee mdogo mdogo labda mbele foleni litapungua nitapanda public transport mpaka home

Hali ilikuwa bado tete nikaamua nipitie njia ya manyanya maana ilikuwa short cut kwangu ili nifike haraka home.

baada ya kufika manyanya nikaingia uchochoroni maana naijua vizuri sana mitaa ile ili nitokee kambangwa secondary
baati nzuri nikakuta wadada wanajadili na kulalamika kuwa

"Wanaume siku izi hawatoi ela yaan wanaume zangu wote ukiwaomba ela wanakuzungusha na wengine wanakuzimia simu kabisa yaani mwaka huu tofauti kabisa na mwaka jana ambapo mwanaume unamuomba elfu 20 anakutumia elfu 25........"

Nilifarijika kidogo moyoni maana hata mimi huu mwaka tangu uanze sijaonga

Nawakilisha
Sijaonga=SIJAHONGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom