Leo nimetimiza mwaka bila kula chips mayai wala soda

Leo nimetimiza mwaka bila kula chips mayai wala soda

Sio akili finyu nimeshapoteza watu wangu wa karibu waliokua wakiniambia km unavyoniambia sasa hivi hawapo, mmoja aliteswa sana na kisukari akapawa na kidonda mguu kikawa hakiponi si unaujua mtiti wa kisukari kile kilichokubari wanaita type nini sijui
Uko sahihi kabisa na wala sijakupinga kwa hoja yako isipokuwa nilikuuliza unaamini akili za anayejiita Dr uchwara? akiaminisha Watu kuwa "Mtu muoga muoga ndiye hufa haraka" Chifu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo 22-04-2023
Nimetimiza mwaka bila chips

Ilikuwa safari ngumu ya kujenga afya yangu hasa kwa mtindo bora wa maisha na kujikinga na maradhi supu..

Upi ushauri wako??
Ni vyakula gani vya kupunguza zaidi ili kujikinga na magonjwa sugu.
Here is the Principal;
Unachoingiza kiwe sawa au pungufu ya unachokitoa.
 
Back
Top Bottom