Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,390
- 114,776
Mchemsho wa Samaki, Kuku, maharagwe, njugu, mboga za majani.Nini mbadala wa vyakula vya wanga kwa Tanzania ambavyo mtanzania wa kipato cha chini anaweza akamudu?
Kwa maana mfano gan wa vyakula tofaut na wanga (esp. ugali, wali) ambavyo mtu atakula na ashibe vizuri na kwa gharama za kawaida?
Kuhusu gharama ni ngumu sana kwa mtu wa hali ya chini mwenye familia kumudu aina hiyo ya vyakula