Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,275
- 3,673
kula atleast tunda moja kwa siku usipige nyeto fanya zoezi acha bia pia nipo kwenye zoezi hilo pia
Sasa mafuta lita moja yanakaanga chips ndoo na yanabaki, hiyo nusu kikombe yanatoka wapi?Je wajua kila chip's moja ina nusu kikombe cha mafuta??
Mafuta yao Sio salama ni mengi sana.
Hupelekea presha
Hupunguza Nguvu za kiume.
Chips hazina faida yoyote mwilini ni takataka
Usiogope huo ni mfanoi tu sio uhalisia wake,Yaan kila kipande cha chips kingekuwa kinanyonya mafuta nusu kikombe sidhan kama wanaouza chips wangepata faida. Tusema tu chips zina mafuta ila sio nusu kikombe jaman vitisho vingine sio kabisa
Yanaenda kwenye viaziSasa mafuta lita moja yanakaanga chips ndoo na yanabaki, hiyo nusu kikombe yanatoka wapi?
Mifano iwe na ujalisia basi ili isipoteze maana maana apo sio mfano apo anatishia. Sasa ukitishia watu wanaojua kureson watakuona unawadanganya ko mfano wako wa kitisho hautawasaidiaUsiogope huo ni mfanoi tu sio uhalisia wake,
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mafuta lita moja yanakaanga chips ndoo na yanabaki, hiyo nusu kikombe yanatoka wapi?
Ushasema kufa kupo tu sasa Mazoez ya nn au mazoezi ya kufaNiache kunywa Pepsi baridi?? Kama kufa tutakufa wote, ule wanga, kabohaidret sijui Nini, unaweza logwa na wachawi ukafa, ukapata ajali ukafa, so kufa is there to stay, Cha msingi mazoezi ni muhimu
Nyeto imeingiaje uku kwenye chips[emoji15]kula atleast tunda moja kwa siku usipige nyeto fanya zoezi acha bia pia nipo kwenye zoezi hilo pia
Hajatishia kajaribu kueleza uhalisia Ila chumvi ameongeza nyingi,Mifano iwe na ujalisia basi ili isipoteze maana maana apo sio mfano apo anatishia. Sasa ukitishia watu wanaojua kureson watakuona unawadanganya ko mfano wako wa kitisho hautawasaidia
typing error 😁Nyeto imeingiaje uku kwenye chips[emoji15]
Hiyo nusu kikombe kwenye chip yanatoka wapi wakati mafuta nusu kikombe yanakaanga chips na kubaki?Yanaenda kwenye viazi
Mweee! Labda kama unazungumzia zile za mwafrika au za sele bonge.Je wajua kila chip's moja ina nusu kikombe cha mafuta??
Mafuta yao Sio salama ni mengi sana.
Hupelekea presha
Hupunguza Nguvu za kiume.
Chips hazina faida yoyote mwilini ni takataka
Fanya practical achana na theory's mkuu, utajifunza Jambo nikuulize ukichukua viazi 3 vibichi ukabimenya kisha ukaweka chumvi juu yake je chumvi itayeyuka au haitayeyuka ?Hiyo nusu kikombe kwenye chip yanatoka wapi wakati mafuta nusu kikombe yanakaanga chips na kubaki?
Kisukari, Presha ni magonjwa ya ajabu?[emoji15]Wewe huogopi kufa na maradhi ya ajabu mfano magonjwa yasiyoambukiza km kisukari, presha, nk ?
Je wajua kila chip's moja ina nusu kikombe cha mafuta??
Mafuta yao Sio salama ni mengi sana.
Hupelekea presha
Hupunguza Nguvu za kiume.
Chips hazina faida yoyote mwilini ni takataka
Omba yasikukute km huumwi piga goti Chini Allah akuepushie mbali,Kisukari, Presha ni magonjwa ya ajabu?[emoji15]
😐😐😔Soda ni hatari kuliko hata hizo chipsi yai. Kumbuka chupa moja ya soda ina gram zaidi ya 30 za sukari Sawa na vijiko 10 vya sukari ya mezani.
Imagine unakunywa soda mbili kwa siku
Amiin [emoji120]Omba yasikukute km huumwi piga goti Chini Allah akuepushie mbali,